• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 10:08 PM

Kenya kunufaika na ufadhili wa Sh42b wa CIF wa kupiga jeki uhifadhi wa mazingira

NA PAULINE ONGAJI akiwa SHARM EL-SHEIKH, MISRI KENYA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazonufaika na ufadhili wa zaidi ya Sh42...

Biden aahidi kuweka wazi endapo atatetea urais

 NA MASHIRIKA WASHINGTON, AMERIKA RAIS wa Amerika, Joe Biden alisema mnamo Jumatano kuwa atatangaza mapema mwaka ujao - 2023 - iwapo...

Mabaki ya ndege yaopolewa ziwani

NA AFP BUKOBA, Tanzania SERIKALI ya Tanzania Jumanne ilitangaza kuwa mabaki ya ndege iliyoanguka katika Ziwa Victoria yameopolewa kutoka...

Wakenya 2 kati ya 19 waliokufa ajalini TZ

NA THE CITIZEN BUKOBA, TANZANIA WAKENYA wawili ni miongoni mwa watu 19 waliofariki kwenye ajali ya ndege ya shirika la Precision Air...

Precision Air: Mvuvi jasiri aliyekuwa mstari wa mbele kuokoa abiria apata kazi serikalini

NA MARY WANGARI MVUVI shujaa aliyekuwa sehemu ya kikosi cha watu waliookoa maisha ya abiria 24 wasliohusika kwenye ajali mbaya ya ndege ya...

Amerika yarai Ukraine izungumze na Urusi

NA MASHIRIKA WASHINGTON D.C., AMERIKA AMERIKA imeanza juhudi za kuirai Ukraine kushusha msimamo wake mkali na kuzungumza na Urusi,...

Idadi ya wahanga wa ajali ya ndege ya TZ iliyoanguka Ziwa Victoria yafika 19

NA AFP BUKOBA, TANZANIA NDEGE iliyokuwa imewabeba abiria 43 kutoka Tanzania ilianguka katika Ziwa Victoria mapema Jumapili kutokana na...

Ebola: Museveni hataweka ‘lockdown’ kote UG

NA AFP KAMPALA, Uganda RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amekariri kuwa hataamuru ‘lockdown’ kote nchini humo kuzuia kuenea kwa...

Njaa: Watu 8 milioni hatarini Sudan Kusini

NA AFP JUBA, SUDAN KUSINI WATU milioni nane nchini Sudan Kusini, au thuluthi mbili ya idadi ya jumla ya watu katika nchi hiyo...

UN, Amerika zasifu Ethiopia kwa kusitisha vita na Tigray

NA MASHIRIKA ADDIS ABABA, ETHIOPIA UMOJA wa Mataifa (UN) na Amerika zinapongeza Ethiopia kwa kusitisha uhasama kati ya serikali na...

Rais wa zamani Da Silva ashinda tena urais Brazil

NA MASHIRIKA SAO PAULO, BRAZIL ALIYEKUWA rais wa Brazil, Lula da Silva, ameibuka mshindi kwenye uchaguzi wenye ushindani mkali,...

Ebola: ‘Lockdown’ yanukia Kampala

KAMPALA, UGANDA NA JONATHAN KAMOGA HOFU imetanda kuhusu uwezekano wa kutangazwa kwa “lockdown” jijini Kampala, Uganda kufuatia...