• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 1:47 PM

Matumaini meli ya kwanza Ukraine ikisafirisha nafaka

NA MASHIRIKA ODESSA, UKRAINE MELI ya kwanza iliyobeba nafaka jana iliondoka katika bandari ya Odsesa nchini Ukraine, chini ya mkataba...

Mvua kubwa yaua 357 na kujeruhi 400 Pakistan

NA XINHUA ISLAMABAD, Pakistan WATU 357 waliuawa na wengine zaidi ya 400 wakajeruhiwa baada mvua kubwa kushuhudiwa nchini Pakistan kwa...

Zimbabwe yaruhusu biashara ya bidhaa zilizotengenezwa kwa bangi

NA KITSEPILE NYATHI SERIKALI ya Zimbabwe imeruhusu, kwa mara ya kwanza kuuzwa kwa bidhaa za kimatibabu zilizotengenezwa kwa kutumia...

Urusi sasa yasema iko tayari ‘kuokoa’ Afrika

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA URUSI imesema kuwa iko tayari kuiuzia Afrika mafuta na ngano yake bila vikwazo vyovyote. Kauli hiyo...

Urusi yashtaki majeshi ya Ukraine kwa ‘uhalifu’

NA MASHIRIKA MOSCOW, URUSI URUSI imewafungulia mashtaka wanajeshi 92 wa Ukraine kwa tuhuma za uhalifu wa kivita. Msimamizi mkuu wa...

WHO yatangaza homa ya nyani kuwa janga

NA XINHUA GENEVA, USWISI SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza maradhi ya homa ya nyani kuwa janga la kimataifa. Hii ni baada...

Ukraine: Mkataba wasifiwa na US, EU

NA AFP INSTANBUL, UTURUKI AMERIKA (US) na mataifa ya Uropa (EU) yamesifu kutiwa saini kwa mkataba unaoruhusu Ukraine kusafirisha nje...

Hisia mseto Sri Lanka ikipata rais mpya

NA MASHIRIKA COLOMBO, SRI LANKA WABUNGE nchini Sri Lanka wamemchagua Waziri Mkuu Ranil Wickremesinghe kuwa rais mpya wa taifa...

Maaskofu wahofia fujo uchaguzi ukitarajiwa 2023

NA KITSEPILE NYATHI HARARE, ZIMBABWE MAASKOFU wa Kanisa Katoliki nchini Zimbabwe wameonya kwamba huenda uchaguzi mkuu wa mwaka 2023...

Zelensky awafuta kazi maafisa akidai usaliti

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE RAIS Volodymyr Zelensky wa Ukraine amesimamisha kazi mkuu wa Idara Kuu ya Ujasusi (SBU) na Kiongozi Mkuu...

Amerika kupunguza mapato ya mafuta yanayotoka Urusi

Na AFP BALI, INDONESIA VITA vinavyoendeshwa na Urusi nchini Ukraine ni tishio kubwa kwa uchumi wa ulimwengu, Waziri wa Fedha wa...

Raia sasa waelekeza hasira kwa waziri mkuu

NA MASHIRIKA COLOMBO, SRI LANKA WAANDAMANAJI wanaolalamikia gharama ya juu ya maisha nchini Sri Lanka, Jumatano walielekeza hasira...