• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 11:05 AM

Mtetezi aomba KWS ipewe ufadhili zaidi

NA KENYA NEWS AGENCY MTETEZI mashuhuri wa mazingira nchini, Jim Justus Nyamu ametoa wito kwa serikali kufadhili Shirika la Wanyamapori...

Kibarua ashtakiwa kwa kuvunja vioo vya madirisha ya kituo cha polisi

NA RICHARD MUNGUTI KIBARUA ameshtakiwa kuvunja vioo vya madirisha 17 katika kituo kidogo cha polisi cha Ngara kwa kuvipiga mawe baada ya...

Serikali yaibuka na mikakati ya kushusha gharama ya chakula cha mifugo

NA SAMMY WAWERU JUMA lililopita, Waziri wa Kilimo Peter Munya alitangaza kusitisha kwa muda ada na ushuru unaotozwa mahindi na malighafi...

Ashtakiwa kwa madai ya kuwalaghai akina mama Sh9m

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA mmoja ameshtakiwa kwa madai ya kuwapunja wanawake wawili zaidi ya Sh9 milioni akidai angewauzia dawa...

Wezi wavamia kanisa na kuiba mali yenye thamani ya Sh250,000

NA GEORGE MUNENE WEZI wenye silaha walivamia kanisa la Katoliki la Christ The King Mukinduri Kaunti ya Kirinyaga na kuiba mali yenye...

Wakenya kuendelea kununua unga wa mahindi kwa bei ghali

NA BARNABAS BII WATEJA wataendelea kugharimika zaidi ili kununua unga kutokana na uhaba wa mahindi katika masoko ya humu nchini na ya...

Wabunge wahimiza wazazi walinde watoto wao

NA MWANDISHI WETU MBUNGE wa Lunga Lunga Khatib Mwashetani (pichani) na mwenzake wa Jomvu Bw Badi Twalib wamewasihi wazazi kuwalinda...

EACC kutwaa mali ya wenye vyeti ghushi

NA KNA TUME ya Maadili ya Kupambana na Ufisadi Nchini (EACC) imeahidi kuwa itatwaa pesa na mali kutoka kwa wale ambao walitumia vyeti...

Mjukuu wa Moi aandamwa na mke waliyetalikiana agharimie zaidi malezi ya watoto

NA JOSEPH OPENDA MJUKUU wa marehemu Daniel Moi, Bw Collins Kibet, bado anakumbwa na masaibu baada ya mkewe waliyetengana kukata rufaa...

Mahujaji 3,000 kusafiri Mecca, Covid ikifungia wengine

NA FARHIYA HUSSEIN TAKRIBAN Wakenya 3,000 mwaka huu watashiriki maombi ya Hija ya kila mwaka Mecca, Saudi Arabia kuungana na Waislamu...

Serikali ya Tanzania yakemea ulanguzi wa watoto walemavu

NA WINNIE ONYANDO SERIKALI ya Tanzania imeelezea masikitiko yake kuhusu filamu iliyopeperushwa na BBC ikionyesha jinsi walanguzi wa...

Tume yatangaza nafasi elfu 14 za kazi ya ualimu

NA DAVID MUCHUNGUH TUME ya Kuajiri Walimu (TSC) imetangaza nafasi 14,460 za kazi ya ualimu katika shule za msingi na upili...