• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 6:50 PM

Mshukiwa mmoja akamatwa, polisi wapata lita 38 za pombe haramu Makongeni

Na SAMMY KIMATU MSHUKIWA mmoja amekamatwa na maafisa wa polisi waliofanikiwa kutwaa lita 38 za pombe haramu ya chang’aa wakati wa...

Uhuru arejesha Jamhuri eneo ilikoanzia

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alirejesha maadhimisho ya sherehe za Sikukuu ya Jamhuri katika Bustani ya Uhuru,...

Hisia mseto zatolewa kufuatia kauli ya Ngilu ‘kukejeli’ mavazi ya Ruto

Na WANGU KANURI WATUMIAJI wa mtandao wa kijamii wa Twitter wameonyesha hisia mseto baada ya Gavana wa Kitui Charity Ngilu kuchapisha...

Wasimamizi waelezea hatua ilizopiga MKU katika utoaji mafunzo ya chuoni

Na LAWRENCE ONGARO WAHITIMU wapatao 5,000 wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) wamehimizwa kuonyesha ujuzi wao baada ya kukamilisha...

MKU kushirikiana na shule spesheli ya St Patrick’s Thika

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) na shule spesheli ya St Patrick's iliyo na wanafunzi wanaoishi na ulemavu zimefanya...

Rais atoa ahadi ya kuwainua walemavu

Na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta amekariri kujitolea kwa serikali katika kuboresha maslahi ya walemavu, akisema watasaidiwa kushiriki...

Mioto shuleni: Rai wizara ibuni kamati maalum

Na FAITH NYAMAI CHAMA cha Wazimamoto Kenya (KNFBA) kimetoa wito kwa Wizara ya Elimu kuunda kamati za kupunguza visa vya moto...

Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kianganga, Mitero, Gatundu Kaskazini wanalalamikia upungufu mahindi katika mashamba...

Kanisa laomba usalama uimarishwe msimu wa sherehe

Na SAMMY KIMATU KANISA limeomba walinda usalama wawe chonjo msimu wa sherehe na shughuli nyingi ili kuhakikisha Wakenya wanakaa katika...

KFS yawahakikishia wakazi huduma za feri zitarejea mwaka 2022

Na WINNIE ATIENO Huduma za feri ambazo zilisitishwa miezi mitatu iliyopita, zitarajea baada ya serikali kumaliza ukarabati wa sehemu ya...

Shirika la PrimRose laokoa walevi Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kawira eneo la Gatundu Kaskazini, wanalalamikia jinsi pombe haramu imefanya vijana kushindwa...

Mke kizimbani kwa madai alimmwagia ‘mpango’ petroli

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE aliyemmwagia mafuta ya petroli mtaalam wa lishe katika Gereza kuu la Kamiti na kutisha kumuua kwa...