• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 12:46 PM

Serikali yajizatiti kukamilisha miradi ya Uhuru

Na WINNIE ATIENO SERIKALI inaharakisha kukamilishwa kwa miradi ya uwekezaji iliyoanzishwa na Rais Uhuru Kenyatta yenye thamani ya Sh1.4...

Familia kortini kupinga hatua ya kuwahamisha

Na MARY WAMBUI FAMILIA zaidi ya 2,500 katika eneo la Mutomo, Gatundu Kusini, Kaunti ya Kiambu, zimepinga mpango wa kuwahamisha kupisha...

Gari lililojaa bangi lanaswa baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani

NA KENYA NEWS AGENCY POLISI walinasa bangi ya mamilioni ya fedha baada ya gari lililokuwa likiisafirisha kuhusika kwenye ajali katika...

Familia kortini kupinga hatua ya kuwahamisha

Na MARY WAMBUI FAMILIA zaidi ya 2,500 katika eneo la Mutomo, Gatundu Kusini, Kaunti ya Kiambu, zimepinga mpango wa kuwahamisha kupisha...

Mbunge Richard Onyonka ajisalimisha kwa DCI mjini Kisii

NA WYCLIFFE NYABERI MBUNGE wa Kitutu Chache Kusini Richard Onyonka, Jumanne asubuhi alijisalimisha kwa maafisa wa upelelezi mjini Kisiii...

Kenya Power yatoa hakikisho tatizo la umeme kukatika linashughulikiwa

Na WANGU KANURI KAMPUNI ya Kenya Power imewahakikishia Wakenya kuwa wahandisi wanashughulika kuhakikisha kuwa stima zimerejea haraka...

Gavana Nyoro atangaza mpango wa kuboresha viwanda Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI ya Kaunti ya Kiambu imefanya ushirikiano na mashirika ya bara la Ulaya ili kuzindua viwanda kadha vya...

Mwili wa aliyetekwa nyara Naivasha wapatikana Thika familia ikitaka uchunguzi wa kina

Na LAWRENCE ONGARO SERIKALI inastahili kuingilia kati ili kujua kiini cha mauaji ya kiholela yanayozidi kushuhudiwa nchini, amesema...

Mwanamke aponea kifo risasi ya polisi ilipomkosa

Na SAMMY KIMATU MWANAMKE mmoja aliponea kifo kwa tundu la sindano baada ya jaribio la kupigwa risasi na ofisa aliyedaiwa kuwa ni polisi...

Mbinu mpya zinazotumiwa kudumisha usalama mitaani

Na SAMMY KIMATU MIKAKATI mizuri iliyowekwa na kubuni mbinu mpya kudhibiti usalama katika eneo la polisi la Makadara msimu wa sherehe...

‘Jungle’ Wainaina aeleza jinsi Njonjo alivyokuwa mwanasheria wa kipekee

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kaunti ya Kiambu, wameachwa na huzuni tele baada ya kupokea habari za kutokea kwa kifo cha mwanasheria...

Wahasiriwa wa mkasa wa moto Mukuru-Kayaba wapokea msaada

Na SAMMY KIMATU FAMILIA zaidi ya 300 zilizopoteza makao yao baada ya moto kuteketeza nyumba zao katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kayaba,...