• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 9:35 PM

Wahalifu mtandaoni kuchukuliwa hatua – Matiang’i

Na WINNIE ONYANDO WALE watakaoeneza habari za uongo na zinazochochea chuki mtandaoni sasa wataadhibiwa vikali. Hii ni baada ya...

Naomba unikome!

Na MARY WANGARI KISANGA cha mapenzi kugeuka shubiri kati ya Gavana wa Machakos Alfred Mutua na Bi Lilian Nganga, kimechukua mkondo mpya...

CRA yashauri kaunti kutengewa Sh370b mwaka 2022

Na LEONARD ONYANGO MAGAVANA wamepata pigo baada ya Tume ya Ugavi wa Mapato (CRA) kukataa wito wao wa kutaka fedha zinazotolewa kwa...

Uhuru ahimiza viongozi kukabili mabadiliko ya tabianchi

Na MARY WAMBUI RAIS Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa viongozi wote ulimwenguni kushirikiana ili kupambana na athari za mabadiliko ya hali...

Serikali yatangaza likizo fupi

Na WANGU KANURI SERIKALI imelazimika kutangaza likizo fupi kwa wanafunzi wa shule za upili, huku visa vya uchomaji mabweni...

Serikali irejeshe spoti shuleni – Kuppet

Na DERICK LUVEGA MUUNGANO wa Walimu wa Sekondari nchini (Kuppet) umetoa wito kwa serikali kurejesha shughuli za spoti shuleni kama njia...

Wamalwa atoa hakikisho la upatikanaji wa haki kwa familia ya Agnes Wanjiru aliyeuawa na mwanajeshi wa Uingereza

Na CHARLES WASONGA WAZIRI wa Ulinzi Eugene Wamalwa, Jumanne aliwahakikishia wabunge kwamba serikali ya Uingereza imejitolea kushirikiana...

Polisi watahadharishwa kuwaomba raia ‘mafuta’

Na LEONARD ONYANGO INSPEKTA Jenerali wa Polisi Hillary Mutyambai ameonya maafisa wa polisi wenye mazoea ya kushinikiza watu kununua...

Mahakama yaagiza Rotich ashtakiwe upya

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Waziri wa Hazina Kuu ya Kitaifa Henry Rotich alipata pigo kubwa Jumatatu mahakama ya kesi za ufisadi...

MKU na Unesco kushirikiana kufanikisha mradi wa afya wa o3 Plus

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya kinashirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco)...

Jamaa wa Gumo aliyetekwa nyara aachiliwa

Na MARY WAMBUI JAMAA wa waziri msaidizi wa zamani, Fred Gumo, aliyekuwa ametekwa nyara saa chache baada ya kumchukua mwanawe kutoka...

Mhariri wa zamani wa habari katika NMG afariki

Na KITAVI MUTUA TASNIA ya uanahabari nchini imepata pigo baada ya kifo cha Bw Gideon Mulaki, aliyehudumu kama Mhariri wa Habari katika...