• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 6:27 PM

Rais atoa ahadi ya kuwainua walemavu

Na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta amekariri kujitolea kwa serikali katika kuboresha maslahi ya walemavu, akisema watasaidiwa kushiriki...

Mioto shuleni: Rai wizara ibuni kamati maalum

Na FAITH NYAMAI CHAMA cha Wazimamoto Kenya (KNFBA) kimetoa wito kwa Wizara ya Elimu kuunda kamati za kupunguza visa vya moto...

Wadudu waharibifu wavamia mashamba ya mahindi Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kianganga, Mitero, Gatundu Kaskazini wanalalamikia upungufu mahindi katika mashamba...

Kanisa laomba usalama uimarishwe msimu wa sherehe

Na SAMMY KIMATU KANISA limeomba walinda usalama wawe chonjo msimu wa sherehe na shughuli nyingi ili kuhakikisha Wakenya wanakaa katika...

KFS yawahakikishia wakazi huduma za feri zitarejea mwaka 2022

Na WINNIE ATIENO Huduma za feri ambazo zilisitishwa miezi mitatu iliyopita, zitarajea baada ya serikali kumaliza ukarabati wa sehemu ya...

Shirika la PrimRose laokoa walevi Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Kawira eneo la Gatundu Kaskazini, wanalalamikia jinsi pombe haramu imefanya vijana kushindwa...

Mke kizimbani kwa madai alimmwagia ‘mpango’ petroli

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE aliyemmwagia mafuta ya petroli mtaalam wa lishe katika Gereza kuu la Kamiti na kutisha kumuua kwa...

Jumwa na wengine 6 wataka kesi ya ufisadi dhidi yao isikilizwe upya

Na PHILIP MUYANGA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, na watu wengine sita wanaokabiliwa na mashtaka ya kushiriki ufisadi, sasa wanataka...

Mwanaharakati mashuhuri David Kimengere arejea nchini baada ya miaka 3 uhamishoni

Na BENSON MATHEKA MWANAHARAKATI mashuhuri David Kimengere Waititu maarufu kama Sauti ya Wanyonge, amerejea nchini baada ya kuishi...

Wakazi wa Kiambu wahimizwa kuendea chanjo ya corona

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kaunti ya Kiambu wamehimizwa kujitokeza kwa wingi ili waendelee kuchanjwa dhidi ya homa ya...

EACC yammulika gavana wa Lamu

Na LEONARD ONYANGO TUME ya Maadili na Kukabiliana na Ufisadi (EACC) imependekeza kushtakiwa kwa Gavana Fahim Twaha wa Lamu, kwa kukiuka...

Corona yafagia asilimia 35 ya biashara ndogo

Na PETER MBURU MAKALI ya janga la Covid-19 yalilemaza pakubwa uchumi wa biashara ndogondogo nchini, ambapo asilimia 35 ya biashara zote...