• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:42 PM

Kalonzo awarai vinara wa OKA kumpa tiketi kuwania urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesihi vinara wenza katika Okoa Kenya Alliance (OKA) kumpa tiketi ya...

Mwanamume asukumwa jela miaka 25 kwa kuua mtoto

Na BRIAN OCHARO MWANAMUME amehukumiwa kifungo cha miaka 25 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya mtoto mwenye umri wa...

Wizara ya Kilimo inavyoshirikisha vijana na kuwapa motisha kuzamia kilimo

Na SAMMY WAWERU WAZIRI msaidizi katika Wizara ya Kilimo, CAS Anne Nyaga amesema idara yake imeweka mikakati kabambe kushirikisha vijana...

Google kufuta jumbe potovu kuhusu chanjo ya corona YouTube

Na MARY WANGARI KAMPUNI ya Google kupitia mtandao wake wa kijamii wa video wa YouTube, imezindua sera mpya inayopiga marufuku matini zote...

Uholanzi kushirikiana na Kenya kuibuka na aina ya viazi itakayostahimili athari za mabadiliko ya tabianchi

Na SAMMY WAWERU UHOLANZI inaendelea kushirikiana na Kenya ili kuibuka na mbegu za viazimbatata ambavyo vitaweza kustahimili makali ya...

Historia ya Malindi kama mji wa kifahari Uswahilini

Na Hawa Ali MALINDI ni mji wa Kenya kwenye pwani ya Bahari Hindi. Mji huu u kilomita 100 Kaskazini ya mji wa Mombasa kwenye karibu na...

Safaricom ilichangia Sh557 bilioni kwa pato la taifa – Ripoti

Na LEONARD ONYANGO KAMPUNI ya Safaricom ilichangia asilimia 5.2 ya pato la taifa (GDP) katika mwaka wa matumizi ya fedha wa...

Taita Taveta huru kutoza kodi miji inayozozania na Kaunti ya Makueni

Na PHILIP MUYANGA WAFANYABIASHARA mjini Mackinon Road na Mtito Andei sasa watahitajika kulipia ada zao za kibiashara kwa Serikali ya...

TAHARIRI: Sekta ya elimu yahitaji mageuzi

NA MHARIRI SHULE zinafunga wiki hii ili kukamilisha muhula wa kwanza katika kalenda mpya ya elimu nchini. Kalenda ya elimu ilivurugwa...

Mzozo wa DPP na DCI waanikwa na kesi ya mauaji ya Cohen

Na BENSON MATHEKA KESI ya mauaji ya bwanyenye kutoka Uholanzi, Tob Cohen imeanika tofauti zinazoendelea kupanuka kati ya Mkurugenzi wa...

Waislamu waenda Saudia kwa Umrah

Na CECIL ODONGO BARAZA Kuu la Waislamu Nchini (SUPKEM) limeshukuru serikali ya Saudi Arabia kwa kufungua baadhi ya maeneo matakatifu ya...

Serikali inavyokiuka Katiba kuacha raia wafe njaa

Na LEONARD ONYANGO INAONEKANA haki zilizoorodheshwa kwenye Katiba zinalenga kuwafaa tu mabwanyenye na kubagua maskini. Sura ya Pili...