• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:55 PM

Mwenye mazoea ya kuibia wenye maduka ya Mpesa achapwa kama nguruwe

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa wizi aliyetoroka mahakama ya Kibera Julai mwaka uliopita jana alipata kichapo cha nguruwe aliporudi kuiba...

Maafisa watatu wakuu wa polisi kujua hatma yao octoba 28

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Milimani Nairobi itaamua Oktoba 28 iwapo itawasukuma maafisa watatu wakuu wa polisi kwa kukaidi agizo la...

Tahadhari yatolewa kuhusu vifaa ghushi vya kupima Ukimwi

Na ANGELINE OCHIENG TAHADHARI imetolewa kuhusu kuibuka kwa vifaa ghushi vya kufanyia vipimo vya virusi vya Ukimwi ambavyo vimeingizwa...

Afueni bei ya kahawa ikiimarika

Na GERALD ANDAE MAPATO ya kahawa katika mwaka wa kifedha wa 2019/2020 yameongezeka kwa asilimia 52. Ongezeko hili lilitokana na...

Are You Able To Be Completamente Genuine Within Online Dating Profile ?

Quando sto cercando tramite incontri gay messina su internet utenti , o check out the pages of guys who've mi ha inviato un'email -per il...

Kobia ataka maafisa waadilifu NGEC

Na KNA WAZIRI wa Utumishi wa Umma, Jinsia, Miradi Maalum na Masuala ya Wazee, Prof Margaret Kobia ametoa wito kwa jopo la watu saba...

Mumewe mbunge amlaumu Ruto vikali

Na STANLEY NGOTHO MUME wa mbunge wa Kajiado Mashariki, Peris Tobiko, Bw Kishanto Ole Suuji, amemlaumu Naibu Rais William Ruto kwa...

Maoni mseto mitandaoni DCI ikianza kutumia Kiswahili kusimulia matukio

Na WANGU KANURI [email protected] BAADA ya Idara ya Uchunguzi wa Uhalifu (DCI) kuchapisha kuwa itakuwa ikielezea matukio kwa...

Afueni wakazi wa Carwash-Zimmerman wakiimarishiwa barabara

Na SAMMY WAWERU WAKAZI wa eneo la Carwash lililoko Zimmerman, Nairobi wamepata afueni baada ya barabara ambayo imekuwa ikitatiza...

Ngilu aagizwa afike kortini kueleza sababu ya kutolipa madaktari 19

Na RICHARD MUNGUTI GAVANA wa Kitui, Bi Charity Ngilu, Alhamisi aliagizwa afike kortini Oktoba 14 kwa kukaidi agizo la kuwalipa madaktari...

Wakazi wakeketwa na njaa mifugo ikizidi kuangamia

Na WAANDISHI WETU FAMILIA katika kaunti zinazokumbwa na ukame zinaendelea kuathiriwa na njaa na kiu tangu Rais Uhuru Kenyatta atangaze...

Ni idadi ndogo tu ya wanaojitokeza Thika kujisajili wawe wapigakura

Na LAWRENCE ONGARO HUKU uandikishaji wa wapigakura ukiendelea tangu uanze Jumatatu wiki hii, ni watu wachache wanaojitokeza katika kituo...