• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 3:03 PM

Ngilu aweka ushirika na NHIF kuwezesha familia 200,000 za mapato ya chini kugharimia matibabu

Na Kitavi Mutua SERIKALI ya Kaunti ya Kitui imeanza kusajili zaidi ya familia 200,000 kwenye Mpango wa Afya kwa Wote (UHC) kama njia ya...

Wenye jinsia mbili walia kubaguliwa wakisaka huduma

Na Wycliffe Nyaberi WATU wenye jinsia mbili nchini wanataka mageuzi yatakayohakikisha uhuru wao na haki zao za kimsingi...

Serikali yaanza kujenga barabara ya lami kuinua hadhi ya mji wa Othaya

Na WANGU KANURI [email protected] Serikali kupitia Mamlaka ya Ujenzi wa Barabara za Mijini (KURA) imeanza kujenga barabara...

Wito mashirika yashirikiane kueneza bayoteknolojia nchini

Na WANGU KANURI [email protected] Kongamano la Mawasiliano ya Bayosayansi Afrika (ABBC2021) limerai washikadau kutoka...

KDF wajengea Waboni shule ya bweni

Na Kalume Kazungu WANAJESHI wa Kenya (KDF) wanaoendeleza operesheni ya usalama kwenye msitu wa Boni, Kaunti ya Lamu wamekabidhi shule ya...

Mkenya azuiliwa Uhispania kwa kugeuka mla watu

Na Hilary Kimuyu POLISI katika mji wa Uhispania wa Seville wanamzuilia mwanamke Mkenya anayedaiwa kuuma na kula vidole viwili vya...

CHARLES WASONGA: SGR kuelekea Malaba itapiga jeki biashara

Na CHARLES WASONGA TANGAZO la Shirika la Reli nchini (KRC) kwamba huduma za treni kati ya Mombasa na miji ya Kisumu na Malaba zitaaza...

BENSON MATHEKA: TSC iwe na uwazi na usawa katika mpango wa mafunzo

Na BENSON MATHEKA Mafunzo ambayo Tume ya Huduma ya Walimu (TSC) imeagiza walimu kuanza ili kukuza taaluma yao yamegubikwa na usiri na...

Tumewafaa wateja wetu wakati wa corona – Safaricom

Na WANGU KANURI [email protected] Kupitia ripoti endelevu ya kibiashara iliyochapishwa na Safaricom juzi, kampuni ilisema...

Kiongozi wa kijeshi Guinea aapishwa kuwa rais wa mpito

Na MASHIRIKA CONAKRY, Guinea Tafsiri: CHARLES WASONGA KIONGOZI wa kijeshi nchini Guinea Mamadi Doumbouya Ijumaa aliapishwa kuwa...

Kampuni zatakiwa kuimarisha usiri wa data za wateja

Na WANGU KANURI [email protected] Ulinzi wa data ya kibinafsi umekuwa changamoto nchini Kenya huku wataalamu wakiwarai wakuu...

KANU yamteua Gedion Moi kuwania urais 2022

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa KANU Bw Gedion Moi ameteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu...