• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 8:50 AM

NYS sasa ni safi kama pamba, afisa mkuu asifia mageuzi

Na Kenya News Agency MKURUGENZI wa Shirika la Kitaifa la Huduma kwa Vijana (NYS) Matilda Sakwa amesema kuwa ufisadi ambao umezingira...

Waislamu wakemea serikali kuhusu utekaji wa washukiwa wa ugaidi

WINNIE ATIENO na BRIAN OCHARO VIONGOZI wa Kiislamu wameishutumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya kupotezwa kwa washukiwa wa ugaidi...

Wakazi wa Ol Moran wasita kurejea kwao

Na JAMES MURIMI MAMIA ya wakazi wa Ol Moran, Kaunti ndogo ya Kirima, Kaunti ya Laikipia wameapa kutorejea makwao huku operesheni...

Wasichana 6 watimuliwa shuleni kwa mihadarati

Na FAITH NYAMAI WASICHANA sita wamefukuzwa kutoka Shule ya Sekondari ya Karen C, Nairobi, kuhusiana na madai ya kuuza mihadarati shuleni...

Serikali kujengea wahasiriwa Laikipia makazi

Na STEVE NJUGUNA SERIKALI imeanza kuwajengea nyumba wakazi wa Ol Moran, kitovu cha ghasia zilizogubika kaunti ndogo ya Laikipia...

Haji arejeshea tena EACC faili za sakata ya Kemsa

Na AMINA WAKO KWA mara nyingine, Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Noordin Haji ameirejeshea Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...

Wasiwasi KRA ikifunga akaunti za chuo kikuu kwa deni kuu

Na BERNARD MWINZI MAMLAKA ya Ukusanyaji Ushuru (KRA), imefunga akaunti za Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), na kusababisha wasiwasi miongoni...

Kesi ya Jumwa yaahirishwa wakili Ombeta amalize kesi ya mauaji

Na MWANDISHI WETU MAHAKAMA KUU imeagiza kesi ya ufisadi inayomkabili mbunge wa Malindi, Aisha Jumwa, iahirishwe hadi kesi nyingine...

Kemsa lawamani tena hospitali zikikosa dawa

IRENE MUGO na ELIZABETH OJINA HOSPITAL katika kaunti kadhaa zimekumbwa na uhaba wa dawa zikiwemo za kukabili maambukizi ya...

Kamket huru kwa bondi, azuiwa kukanyaga guu Baringo

Na JOSEPH OPENDA MAHAKAMA moja ya Nakuru Ijumaa ilimwachilia huru Mbunge wa Tiaty, William Kasait Kamket kwa dhamana ya...

Walimu 3 waliohitimu PhD wafunza katika chekechea, Gredi ya Kwanza

Na RUSHDIE OUDIA WASOMI watatu waliohitimu na uzamifu (PhD) wamelazimika kufunza shule za chekechea na msingi kwa kukosa kazi katika...

Wakfu wa Jungle Foundation watoa mafunzo ya huduma ya kwanza kwa wanafunzi Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO WAKFU wa Jungle Foundation umejitolea kuhamasisha wanafunzi katika shule za msingi kuhusu utoaji wa huduma ya kwanza...