• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 2:07 PM

Kibarua cha IEBC kuandaa duru ya pili ya uchaguzi 2022

Na WANDERI KAMAU KENYA inakabiliwa na kibarua cha maandalizi ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais, ikiwa itajipata hapo kwenye uchaguzi...

Kibicho: Tutaweka kamera za siri Gikomba kudhibiti mikasa ya moto

Na SAMMY WAWERU KATIBU katika Wizara ya Usalama wa Ndani Dkt Karanja Kibicho amesema serikali inalenga kupata suluhu ya kudumu kudhibiti...

Wakosoa Magoha kutosajili shule

Na SAMWEL OWINO WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha amekosolewa na wabunge kuhusu agizo lake la kusitisha usajili wa shule...

Shule yakosa kupata wanafunzi wa kidato cha kwanza

Na BRIAN OJAMAA Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiendelea kuripoti katika shule walizoitwa, shule moja katika Kaunti ya Bungoma...

Hisia mseto Ezekiel Mutua akitimuliwa kutoka kwa bodi ya filamu

Na MARY WANGARI HATUA ya kumfuta kazi Afisa Mkuu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini (KFCB), Dkt Ezekiel Mutua, imeibua hisia...

Hatari wakazi ‘wakisusia’ madaraja ya barabara kuu

Na WACHIRA MWANGI WAKAZI wa jiji la Mombasa ‘wamesusia’ madaraja yaliyojengwa kwa kutumia mamilioni ya fedha ili kulinda maisha...

Wahitimu 6,500 kutoka MKU washauriwa wawe wabunifu

Na LAWRENCE ONGARO WAHITIMU wapatao 6,500 wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) wameambiwa wawe wabunifu kwenye sherehe ya mahafali hao...

Wanafunzi wanaougua corona hawaonyeshi dalili – Kagwe

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Afya Mutahi Kagwe ameonya kuwa endapo wananchi hawatachukua tahadhari na kujikinga kutokana na virusi vya...

Mmoja auawa kwenye mzozo kuhusu vijana wawili

Na GEORGE MUNENE Mtu mmoja ameuawa  kwa risasi huku taharuki ikizidi kutanda mjini Kianjokoma, Kaunti ya Embu kufuatia mauaji ya vijana...

Mtangazaji wa zamani wa KBC Gladys Erude afariki

Na Derick Luvega MTANGAZAJI maarufu aliyevuma katika miaka ya 1980 na 1990 Gladys Erude, alifariki Jumatano usiku akiwa na umri wa miaka...

Wanafunzi 160 Githunguri wapata ufadhili wa Sh5 milioni

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wapatao 160 kutoka eneo la Githunguri, Kaunti ya Kiambu, wanaotarajia kujiunga na Kidato cha Kwanza...

Mfanyabiashara anayeshtakiwa kujaribu kuua maafisa wawili wa polisi aachiliwa kwa dhamana ya Sh10milioni

Na RICHARD MUNGUTI MFANYABIASHARA anayeshtakiwa kwa kujaribu kuwaua maafisa wawili wa polisi aliachiliwa jana kwa dhamana ya Sh10milioni...