• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 2:07 PM

Jambojet yatangaza mipango ya kuanzisha safari Goma na Lamu

Na WINNIE ONYANDO KAMPUNI ya usafiri wa ndege ya Jambojet jana ilitangaza mipango ya kuanza kutoa huduma za usafiri kwa bei nafuu katika...

Diwani wa zamani kizimbani kwa mashtaka ya mauaji

Na BRIAN OCHARO ALIYEKUWA diwani wa Wadi ya Junju, Kaunti ya Kilifi, Bw Onesmus Gambo Karisa ameshtakiwa kwa mauaji ya mfanyabiashara,...

Aliyekuwa meya Lamu ageuka bodaboda kujipatia riziki

Na KALUME KAZUNGU HALI ngumu ya maisha imemsukuma aliyekuwa diwani na mwenyekiti wa baraza la mji wa Lamu, wadhifa ambao ni sawa na wa...

Auza nyumba ya babake akimdai Sh200,000

Na STEPHEN ODUOR MWANAMUME katika eneo la Garsen, Kaunti ya Tana River ameshangaza wenyeji kwa kuuza nyumba ya babake akimdai...

Jiandaeni kwa kiangazi na njaa, shirika laonya

Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la Utabiri wa Hali ya Anga limeonya kuwa hali ya kiangazi itashuhudiwa maeneo kadha nchini huku likiongeza kuwa...

Ujenzi wa daraja Starehe kucheleweshwa

Na SAMMY KIMATU HUENDA daraja la watu kuvukia kwa miguu lililopangiwa kujengwa na serikali katika mitaa ya mabanda kaunti ndogo ya...

Serikali yakiri kudaiwa Sh16m za usalama wa baharini

Na WINNIE ATIENO SERIKALI imeungama kudaiwa Sh16 milioni na kampuni ya Ufaransa ambayo hutoa huduma za usalama wa baharini. Waziri wa...

CORONA: Mombasa yapiga marufuku matibabu ya nyumbani

Na WINNIE ATIENO SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imepiga marufuku matibabu ya nyumbani kwa wagonjwa wanaougua Covid-19 baada ya kufichuka...

Ndugu wawili wakana kuibia Benki ya Dubai Sh154milioni

Na RICHARD MUNGUTI NDUGU wawili Jumatano walishtakiwa kuibia benki iliyofilisika ya Dubai (DBK) Sh154milioni miaka 14 iliyopita. Bw...

Serikali yatoa Sh17.4 bilioni kufadhili masomo katika shule zote za umma

Na WINNIE ONYANDO SERIKALI ilitoa Sh17.4 bilioni kama ufadhi wa masomo katika shule zote za umma nchini muhula huu wa kwanza. Katika...

Matumaini ya kufufuka kwa Mumias yaimarika

Na VICTOR RABALLA HATIMAYE kuna matumaini kwenye juhudi za ufufuzi wa Kampuni ya Sukari ya Mumias, baada ya wawekezaji kupewa hadi...

Kamishna atishia kufunga baa zinazokiuka kanuni za kuzuia virusi

NA PIUS MAUNDU KAMISHINA wa Kaunti ya Makueni, Maalim Mohammed amewaonya wamiliki 39 wa baa ambao wanakiuka kafyu na kupuuza kanuni za...