• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 6:55 AM

Familia zaidi ya 50 zapoteza nyumba zao kwenye mkasa wa moto

Na SAMMY KIMATU MALI yenye thamani ya mamilioni ya pesa iliteketea usiku wa kuamkia Jumatatu katika kisa cha moto kwenye mtaa mmoja wa...

Makundi 10 ya wafanyabiashara Thika yapokea mkopo wa Sh1.4 milioni

Na LAWRENCE ONGARO VIKUNDI 10 vya wafanyabiashara vimenufaika na mkopo ya Sh1.4 milioni ili kujiendeleza zaidi. Fedha hizo zimetolewa...

Jumwa ashindwa kushawishi mahakama iahirishe kesi yake ya tuhuma za ufisadi

Na PHILIP MUYANGA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa pamoja na washukiwa wengine sita wa ufisadi walilazimika kujibu mashtaka licha ya...

Isuzu EA yapangia Kipchoge mapokezi motomoto

Na GEOFFREY ANENE KAMPUNI ya magari ya Isuzu East Africa imeeleza kufurahia balozi wake wa magari ya D-Max, Eliud Kipchoge aliyehifadhi...

Mturuki mwandani wa Dkt Ruto afurushwa nchini

Na CHARLES WASONGA MFANYABIASHARA Harun Aydin ambaye ni mwandani wa Naibu Rais William Ruto, Jumatatu alfajiri alisafirishwa kwa nguvu...

Serikali ya Israel yapiga jeki mpango wa utekelezaji 4-K Club kupitia mchango wa miche ya mboga

Na SAMMY WAWERU UFUFUZI wa mpango wa 4-K Club katika shule nchini umepigwa jeki baada ya serikali ya Israel kutoa msaada wa miche...

Mfanyakazi wa hoteli akana kuwahadaa wafanyabiashara atazalisha pesa zao zifike Sh1.3Bilioni

Na RICHARD MUNGUTI MFANYAKAZI katika hoteli moja jijini Nairobi alishtakiwa jana kwa kupokea Sh13milioni kutoka kwa wafanya biashara sita...

Covid: Wadau wa utalii walalama kubaguliwa

Na WACHIRA MWANGI WADAU katika sekta ya utalii wamelalamika kuwa sekta ya utalii inabaguliwa serikali inapoendelea kujaribu kurejesha...

Hofu wezi wakijaribu kufukua mwili wa mbunge

Na CHARLES WANYORO KULIZUKA sintofahamu katika kijiji cha Kaguma, Kaunti ya Meru baada ya wezi kuvamia kaburi la aliyekuwa mbunge wa...

Corona: Onyo kuhusiana na utoaji chanjo kwa halaiki

Na MASHIRIKA UWEZO wa kinga ya pamoja kutumika katika kuzuia maambukizi ya Covid-19 umezidi kujitokeza kama jambo lisilowezekana, kwa...

Kibarua cha IEBC kuandaa duru ya pili ya uchaguzi 2022

Na WANDERI KAMAU KENYA inakabiliwa na kibarua cha maandalizi ya duru ya pili ya uchaguzi wa urais, ikiwa itajipata hapo kwenye uchaguzi...

Kibicho: Tutaweka kamera za siri Gikomba kudhibiti mikasa ya moto

Na SAMMY WAWERU KATIBU katika Wizara ya Usalama wa Ndani Dkt Karanja Kibicho amesema serikali inalenga kupata suluhu ya kudumu kudhibiti...