• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 9:50 AM

Bunge la Uganda laandikisha visa 200 vya maambukizi ya corona ndani ya wiki 3

Na Daily Monitor Tafsiri: CHARLES WASONGA ZAIDI ya wafanyakazi 200 wa Bunge la Uganda, wakiwemo wabunge, wamepatikana na virusi vya...

Shule zakataa amri ya KNEC kuhusu mtihani

Na FAITH NYAMAI SHULE za umma na za kibinafsi zimelalamika dhidi ya sheria mpya kutoka kwa Baraza la Kitaifa la Mitihani (Knec)...

Ni kosa kuwabagua wananchi kwa misingi ya kitabaka

Na WANDERI KAMAU KUNA kauli maarufu kwamba huwa ni vigumu kwa watu maskini kupata haki. Dhana kama hiyo ndizo zimeifanya serikali kuanza...

Kaunti ya Mombasa yaongoza kwa bajeti za maendeleo eneo la Pwani

ANTHONY KITIMO Na BRIAN OCHARO KAUNTI ya Mombasa imeongoza kaunti zote za Pwani kwa kiwango cha fedha kilichotumiwa kwa maendeleo katika...

Shahbal akosoa dhana ya uvivu wa Wapwani

Na VALENTINE OBARA MWANASIASA Suleiman Shahbal, anayepanga kuwania ugavana Mombasa 2022 ametaka Wapwani wapewe nafasi za kujiendeleza...

Kivumbi chatarajiwa mahasimu Ujerumani, Uingereza wakivaana raundi ya 16-bora

LONDON, Uingereza MAHASIMU Uingereza na Ujerumani watafufua uadui katika mojawapo ya mechi za raundi ya 16-bora za kudondosha mate baada...

Kingi adai serikali ilinyakua ekari 237 za wenyeji

Na ALEX KALAMA SERIKALI ya Kaunti ya Kilifi imesema uchunguzi wake umebainisha kuwa wasimamizi wa shamba la Shirika la Kustawisha Kilimo...

Chanjo mpya ya Cuba kwa jina Abdala yaibua gumzo mtandaoni

Na SYLVANIA AMBANI MDAHALO mkubwa umeibuka mtandaoni kuhusu jina la chanjo mpya ya corona kutoka Cuba ambayo imetajwa kuwa na ufanisi wa...

Kituo cha polisi chafungwa kutokana na corona

Na DERICK LUVEGA KITUO cha polisi cha Embali, eneobunge la Emuhaya, Kaunti ya Vihiga kimefungwa kwa siku 14 baada ya maafisa watatu...

Sofapaka kukabili Ulinzi, Gor na AFC wakipambana na wapinzani kesho

Na CECIL ODONGO BAADA ya kuchapwa na Gor Mahia kwenye mechi iliyojaa utata mwingi wikendi iliyopita, mabingwa wa 2009 Sofapaka hii leo...

Wazazi wapewa tahadhari kuhusu mkurupuko wa nimonia

Na STEPHEN ODUOR WAZAZI katika Kaunti ya Tana River wameonywa dhidi ya kupuuza dalili za homa kwa watoto kwa vile kuna mkurupuko wa...

Lissu kuzindua kitabu chake leo Nairobi

Na JUSTUS OCHIENG MWANASIASA wa upinzani wa Tanzania Tundu Lissu ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Ubeligiji anatarajiwa kuzindua...