• Nairobi
  • Last Updated April 24th, 2024 5:39 PM

KQ yaongeza Sh25 milioni kwenye Safari Rally

Na GEOFFREY ANENE KAMPUNI ya ndege ya Kenya Airways (KQ) imeongeza Sh25 milioni kwenye Mbio za Magari Duniani (WRC) Safari Rally...

NAPSA Stars wanayochezea Wakenya Calabar na Odhoji yalemewa Ligi Kuu Zambia

Na GEOFFREY ANENE WAKENYA Shaaban Odhoji na David Owino “Calabar” watalazimika kucheza Ligi ya Daraja ya Pili nchini Zambia ama...

Wanaraga wa Chipu waingia kambini Brookhouse dimba la Afrika likinukia

Na GEOFFREY ANENE TIMU ya taifa ya raga ya wachezaji 15 kila upande ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 maarufu Chipu, itaingia leo...

Kaizer Chiefs anayochezea Mkenya Akumu mguu mmoja fainali ya Klabu Bingwa

Na GEOFFREY ANENE KAIZER Chiefs iliduwaza Wydad Casablanca 1-0 katika mechi ya mkondo wa kwanza ya nusu-fainali na kuweka hai matumaini...

Okumbi kuongoza Harambee Stars U23 Cecafa

Na GEOFFREY ANENE KOCHA wa Posta Rangers FC, Stanley Okumbi ataongoza timu ya taifa ya Kenya ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 23...

Serikali yaonya wimbi la tatu la corona lanukia nchini Tanzania

Na MWANANCHI SERIKALI ya Tanzania imesema kuna ishara kwamba wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 litatua nchini humo, na kuhimiza raia...

Kemri kubaini athari ya chanjo kwa Wakenya

Na MAUREEN ONGALA TAASISI ya Utafiti wa Matibabu nchini Kenya (Kemri) inatarajia kukamilisha utafiti wake kuhusu ikiwa chanjo ya...

Mvulana aliyeitwa shule ya wasichana sasa apata afueni

Na Francis Mureithi WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha, amekubali lawama ambapo mwanafunzi mvulana katika Kaunti ya Bungoma aliitwa...

Spika Muturi awarai madaktari watumie teknolojia kwa tiba

Na Ruth Mbula SPIKA wa Bunge la Kitaifa, Bw Justin Muturi, amewarai wadau wa afya kuharakisha utekelezaji wa taratibu za kutumia...

Kamati yaonya Knec kuhusu jengo lililokwama

Na SAMWEL OWINO Jengo moja lililochukua miaka 33 bila kukamilika, limetengewa Sh500 milioni zaidi katika bajeti ya mwaka huu, huku...

Wanaume wahimizwa kuwajibikia vilivyo majukumu yao katika familia

Na LAWRENCE ONGARO WANAUME wamehimizwa kuwajibika vilivyo katika familia kwa kushughulikia watoto wao wanaojiunga na Kidato cha...

Kituo cha afya cha Kiandutu sasa kutoa huduma bora za maabara

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kiandutu wamepata afueni baada ya kupata maabara kwenye hospitali yao ya Kiandutu Health Centre mjini...