• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Ujenzi wa bwawa na visima kupunguza mizozo

NA WINNIE ATIENO SERIKALI imetenga kima cha Sh48 milioni zinazolenga kutumika kujenga vyanzo vya maji (water pan) na visima katika...

Rais Ruto na Waziri Blinken wafanya mazungumzo kuhusu Haiti

NA CHARLES WASONGA WAZIRI wa Masuala ya Kigeni wa Amerika Antony Blinken Jumamosi, Machi 9, 2024 alifanya mazungumzo na Rais William...

Mwaura alaani mauaji ya mwanablogu 

NA ALEX NJERU SERIKALI imelaani mauaji ya mwanablogu wa Tharaka Nithi Peris Mugera ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa katika kaunti...

Kanu yaenda kortini ikitaka irejeshewe KICC

NA SAM KIPLAGAT CHAMA cha Kanu kimeanza mchakato wa kutwaa umiliki wa Jumba la Mikutano la KICC zaidi ya miongo miwili baada ya kufurushwa...

Wachukuzi wahofia mabogi mapya ya treni yanawalenga

NA ANTHONY KITIMO WASHIKADAU katika sekta ya usafiri wamehofia serikali inarudisha mfumo walioupinga wa kutumia reli ya kisasa (SGR) na...

ODM itasalia imara hata bila Raila – Oparanya

NA SHABAN MAKOKHA VIONGOZI wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) wamesema chama hicho bado kitabaki imara hata kama kinara wao...

Tanzia: Kachero John Kamau kukumbukwa kwa kumkamata daktari feki

NA MWANGI MUIRURI KACHERO John Njoroge Kamau aliyeaga dunia Ijumaa atakumbukwa kwa kuongoza kikosi cha polisi kilichovamia kliniki ya...

Chopa iliyombeba Murkomen ina historia ya hitilafu ikipaa

NA WANDERI KAMAU IMEBAINIKA kuwa ndege iliyoanguka mnamo Jumamosi ilipokuwa ikipaa ikiwa imembeba Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen na...

Walimu wasio na kazi wasubiri TSC itangaze nafasi 20,000

NA WANDERI KAMAU TUME ya Kuajiri Walimu (TSC) sasa itawaajiri walimu wapya 20,000 baada ya kutengewa Sh369.9 bilioni na serikali katika...

Mabadiliko yaashiria anayeweza kuwa Mkuu mpya wa Majeshi karibuni

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto amempandisha cheo Meja Jenerali Muriu Kahariri kuwa Luteni Jenerali na Naibu Mkuu wa Majeshi (VCDF)...

Chiloba ateuliwa mkuu wa ubalozi mdogo wa Kenya jijini Los Angeles

NA WANDERI KAMAU ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (CA), Bw Ezra Chiloba, ameteuliwa na Rais William Ruto kuwa...

Benki zaweka masharti makali kwa mikopo ‘midogomidogo’

NA KEPHA MURURI BENKI sasa zimeweka masharti magumu ya kutoa mikopo midogomidogo kama tahadhari baada ya wakopaji wengi kushindwa kulipa...