• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:55 AM

Usajili wa watahiniwa wa KPSEA na KCSE 2024 kuanza Januari 29  

NA SAMMY WAWERU Usajili wa watahiniwa wa KPSEA na KCSE 2024 utaanza Januari 29 na kuendelea kwa muda wa miezi miwili. Afisa Mkuu...

UDA, JUBILEE, ODM, WIPER kuandaa chaguzi 2024 kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2027

WANDERI KAMAU NA CHARLES WASONGA VYAMA vikuu vya kisiasa vimeanza mipango kabambe kuwasajili wanachama wake kote nchini. Chama cha...

Wetang’ula kuwakilisha Afrika katika Jumuiya ya Madola

NA BENSON MATHEKA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula amechaguliwa kwa mhula wa pili kuwa mwakilishi wa Afrika katika Kamati ya...

Gavana Wavinya apiga marufuku maiti za ‘wageni’ kupelekwa Machakos

NA MWANGI MUIRURI  GAVANA wa Machakos Bi Wavinya Ndeti ametoa amri kwa wahudumu wa mochari za eneo hilo kukoma kupokea maiti za...

Serikali yaboresha intaneti katika kaunti ‘zilizotengwa’

STANLEY NGOTHO NA WANDERI KAMAU SERIKALI imeanza mpango wa kuboresha mtandao wa intaneti katika kaunti 12, ili kurahisisha upatikanaji...

NHIF yamulikwa kwa dili feki za Sh21 bilioni kutibu wagonjwa

DAVID MWERE NA CHARLES WASONGA BIMA ya Kitaifa ya Afya (NHIF) inamulikwa baada ya zaidi ya Sh21 bilioni kutolewa kutoka hazina yake...

Ubomoaji Voi: Wakuu wa utawala wakataa kupokea simu

NA LUCY MKANYIKA  VIONGOZI wa Kaunti ya Taita Taveta wakiongozwa na Gavana Andrew Mwadime, walipata muda mgumu kujaribu kusimamisha...

Huenda ukalipa karo zaidi kuliko inavyofaa

NA WANDERI KAMAU WAZAZI nchini wanakabiliwa na kibarua kigumu kuanzia Jumatatu, wanapojitayarisha kugharimia mahitaji ya wana wao...

Wakazi Mombasa kufaidi kupitia mradi wa treni

NA ANTHONY KITIMO WAKAZI wa Mombasa mwaka huu, 2023 wataanza kupata hudumu za uchukuzi wa treni kutoka kituo kikuu cha gari moshi baada...

Ukuzaji avokado wageuka hatari kwa sababu ya donge nono

NA RICHARD MAOSI MSIMU wa kuvuna kwa wakulima kutoka eneo la Kinangop katika Kaunti ya Nyandarua umegeuka wakati wa kilio kwa sababu ya...

MCK yalaani shambulio dhidi ya wanahabari jijini Nairobi

NA WANDERI KAMAU BARAZA la Vyombo vya Habari nchini (MCK), Jumamosi lililaani vikali shambulio lililotekelezwa dhidi ya wanahabari...

Kifo cha ‘Sniper’: Maafisa wapekua kwa Mwangaza

NA GITONGA MARETE MAAFISA wanaoweka zingatio katika kuchunguza uhalifu wa mauaji, walifika katika makazi ya Gavana wa Meru Kawira...