• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:45 AM

Bodaboda waliochukuliwa wapachikaji mimba wawalinda wasichana Kilifi

NA ALEX KALAMA JAMII imetakiwa kuwapa nafasi sawa watoto wa jinsia zote ili kuhakikisha taifa la kesho linapiga hatua kimaendeleo,...

Mbolea nafuu iliyohepeshwa yaanikwa kama ushahidi dhidi ya mkulima

NA RICHARD MUNGUTI MKULIMA kutoka Narok ameshtakiwa kuhifadhi magunia 252 ya mbolea ya bei nafuu inayotolewa kwa wakuliman wa mashamba...

Wito jamii ya kimataifa ilazimishe kufutiliwa mbali mkataba kati ya Ethiopia na Somaliland

NA CHARLES WASONGA WABUNGE wanne kutoka eneo la Kaskazini Mashariki wameitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati na kushinikiza kufutiliwa...

Tusipolinda mazingira tunaalika umaskini, Wetang’ula aonya

NA BENSON MATHEKA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula amesisitiza jukumu muhimu linalotekelezwa na mifumo asili katika kulinda...

Waathiriwa wa mafuriko wataabika baada ya kambi kufungwa

NA LUCY MKANYIKA FAMILIA za waliolazimika kuondoka katika maboma yao kwa sababu ya mafuriko katika eneo la Voi, Kaunti ya Taita Taveta...

Ruto asisitiza kusafisha mahakama ni lazima

NA BENSON MATHEKA RAIS William Ruto ameapa kuwakabili na kuwaondoa majaji anaodai wanapokea hongo kuhujumu mipango ya serikali yake...

Wezi wapika chamcha kwa nyumba za walioenda kazini

NA RICHARD MAOSI WAKAZI wa Karagita viungani mwa mji wa Naivasha katika Kaunti ya Nakuru wameripoti ongezeko la visa vya wezi ambao, ...

Nassir: Matibabu ya bure ni kwa watoto wa 001 pekee

NA FARHIYA HUSSEIN GAVANA wa Kaunti ya Mombasa Abdulswamad Nassir ametetea mpango wake wa huduma za matibabu ya bure unaowanufaisha...

Mahakama yasikia kilio cha Ruto

NA SAM KIPLAGAT MAHAKAMA ya Rufaa imeruhusu serikali kuendelea kukata ushuru wa nyumba za gharama nafuu hadi pale itatoa uamuzi wake...

Hofu simba wenye njaa wakizurura ovyo vijijini

NA STANLEY NGOTHO TAHARUKI imezuka katika vijiji kadhaa kaunti ndogo ya Kajiado Mashariki baada ya simba tisa kuonekana wakizurura ovyo...

Wazazi wajiandaa kuwapeleka watoto shuleni

NA FARHIYA HUSSEIN UGUMU wa maisha unaendelea kuwabamiza Wakenya ukutani. Baada ya kutamatika rasmi kwa sherehe za Krismasi na Mwaka...

Ruto ainyenyekea mahakama aruhusiwe kukata ushuru wa nyumba

NA SAM KIPLAGAT RAIS William Ruto mnamo Jumanne aliirai Mahakama ya Rufaa kuiruhusu serikali yake kuendelea kukusanya ada tata za makato...