• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 11:05 AM

TIBA NA TABIBU: Wanasayansi watahadharisha kuhusu uraibu wa simu

NA WANGU KANURI IWAPO unatumia simu yako kupekua mtandao, kucheza michezo mbalimbali, kupiga gumzo, kuangalia baruapepe kwa muda mrefu...

Bodi kuchunguza wanaouza dawa bila ushauri wa daktari

NA WANGU KANURI BODI ya Dawa na Sumu (PPB), imeraiwa kuchunguza kliniki na maduka yanayouza dawa, kubaini yanayouza dawa ya ketamine...

SHINA LA UHAI: Juhudi zaidi zahitajika kukabili kansa ya lango la uzazi

NA PAULINE ONGAJI NI siku chache tu baada ya Kenya kumuaga aliyekuwa mtangazaji nyota wa televisheni marehemu Catherine Kasavuli,...

PAUKWA: Msanii afumaniwa na Kaburu pabaya

NA ENOCK NYARIKI ASUBUHI, Bwana Kaburu aliitembelea Idara ya Parachuti. Kama ilivyokuwa ada, shughuli zilikuwa nyingi huko kuliko...

MWALIMU WA WIKI: Njuguna ni mwalimu mwenye kiu ya utafiti

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU anayejali maslahi ya wanafunzi anastahili kujiandaa ipasavyo kwa ajili ya somo lake. Ajitahidi kuhudhuria...

DARUBINI YA WIKI: Toleo Nambari 21 | Januari 22, 2022

Sababu za Huduma ya Afya kwa Wote kubakia kuwa ndoto Mhariri: Lazima serikali izingatie UHC ili kutoa huduma za afya kwa Wakenya...

KIGODA CHA PWANI: Changamoto nyingi zasubiri mawaziri wateule wa Nassir

NA PHILIP MUYANGA HUKU wakitarajiwa kuhojiwa na bunge la kaunti na baadaye kuidhinishwa na kutwaa nafasi zao rasmi, mawaziri wateule wa...

MIKIMBIO YA SIASA: Pigo kwa Azimio Jubilee ikizidi kuzama Mlimani

Na CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Azimio la Umoja-One Kenya umepata pigo jingine baada ya wabunge 10 wa Jubilee kutoka Mlima Kenya kuamua...

JUNGU KUU: Kiini cha Ruto kutaka kudhibiti IEBC mpya

NA CHARLES WASONGA KUPITISHWA kwa Mswada wa Marekebisho ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), 2022 katika Seneti Alhamisi sasa...

WALIOBOBEA: Suleiman Shakombo: DC mjanja wa siasa

KWA HISANI YA KENYA YEARBOOK SULEIMAN Rashid Shakombo hakuwa akifahamika kabisa eneo la Likoni kabla ya kujiunga na siasa mwaka wa...

Kahawa sasa yageuka kisiki Mlima Kenya

NA WANDERI KAMAU USIMAMIZI wa mikakati ya kuboresha zao la kahawa katika ukanda wa Mlima Kenya umegeuka kuwa chanzo cha makabiliano makali...

WASIA WA NDOA: Utafanyaje ndoa ikikosa kuridhisha?

NA BENSON MATHEKA UMEINGIA katika ndoa ukiwa na matarajio makubwa ya kutimiziwa ahadi ulizopatiwa. Mke anasubiri mumewe amweke maisha ya...