• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 11:33 AM

UJASIRIAMALI: Kilimo Msitu kinavyohifadhi mazingira na kuwaletea riziki

NA LABAAN SHABAAN JULIUS Waweru, mtaalamu wa kilimo, ni mkulima wa miche ya miti eneo la Kenol, Kaunti ya Murang’a na huuza miche 20,...

ZARAA: Ukuzaji wa matunda wazima ‘ushawishi’ wa zao la mahindi

NA JOHN NJOROGE BAADA ya kutembea hatua chache kutoka kwa barabara kuu ya Molo kwenda Njoro karibu na mji wa Elburgon katika Kaunti ya...

MWALIMU WA WIKI: Mwalimu mbobevu na mtunzi chipukizi

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU ana nafasi kubwa katika kuchochea hamu ya wanafunzi wake kupenda masomo na kufaulu katika safari nzima ya...

WALIOBOBEA: Akaranga alivyobadilisha sekta ya umma nchini

KWA HISANI YA KENYA YEAR BOOK MOSES Akaranga, mtaalamu wa Benki aliyebadilika kuwa kasisi, anakumbukwa kwa kuanzisha kandarasi za kazi...

SOKOMOKO WIKI HII: Cherera alivyopiga chenga Wakenya kwa ‘mahesabu ya ajabu’

NA CHARLES WASONGA WIKI hii Naibu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera aliwapa Wakenya zoezi gumu la...

USHAURI NASAHA: Endeleza jitihada za kujikuza, japo kwa akali ndogo

NA HENRY MOKUA NI kawaida mwanafunzi kutamani kufanikiwa sawa na wanataaluma mbalimbali anaowaona katika ujirani wake. Ni kawaida pia...

NDIVYO SIVYO: Kauli ‘uchumi umepanda’ haina mashiko na si sahihi

NA ENOCK NYARIKI KAULI ‘uchumi umepanda’ aghalabu hutumiwa na baadhi ya watu kwa maana finyu ya kupanda kwa bei za bidhaa hivyo basi...

Muffins za karoti na zisizo na mayai

NA MARGARET MAINA [email protected] MUFFINS za karoti zisizo na mayai ni rahisi kutengeneza. Kwa kawaida huwa ni laini na...

UJASIRIAMALI: Uraibu wa kuoka wageuka biashara

NA PETER CHANGTOEK HAPPINESS Soila alijitosa katika uokaji wa keki miaka mitano iliyopita kama uraibu. Hata hivyo, uraibu huo uligeuka...

MITAMBO: Bailers za kisasa zinazotumia GPS

NA RICHARD MAOSI KULISHA mifugo kunahitaji mambo mengi kuzingatiwa. Mfugaji anapaswa kufahamu kuwa ni jambo la kimsingi kwa wanyama...

ZARAA: Teknolojia ndio itaokoa kilimo nchini, afisa asema

NA SAMMY WAWERU MARY Nzomo ni Waziri wa Kilimo, Mifugo, Samaki na Vyama vya Ushirika Kaunti ya Trans Nzoia na alizungumza na Akilimali...

ZARAA: Mikakati ya kufufua kahawa sasa yaanza kuzaa matunda

NA SAMMY WAWERU GLADYS Wangu na mume wake, Christopher Wambugu wamekuwa katika kilimo cha kahawa kwa zaidi ya miaka 15. Wakiendeleza...