• Nairobi
  • Last Updated April 18th, 2024 9:15 PM

TALANTA: Dogo mtelezaji

NA RICHARD MAOSI NCHINI Kenya bado kuna uhaba wa wachezaji katika spoti ya kuteleza kwa viatu vya magurudumu almaarufu kama skating, huu...

Ukora wa bunge la 12 na kamati zake

NA CHARLES WASONGA UTENDAKAZI wa Bunge la 12 ambao ulitamatisha vikao vyake juzi na kutoa nafasi kwa wabunge na maseneta kushiriki...

BAHARI YA MAPENZI: Kuboresha uhusiano baada ya ugomvi

SIZARINA HAMISI Na BENSON MATHEKA KUGOMBANA ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida...

PENZI LA KIJANJA: Kuepuka uvundo wa upweke!

NA BENSON MATHEKA LIZZ alifika kwa daktari wake akijihisi mgonjwa. “Sifikirii vyema na kichwa kinaniwanga,” alieleza...

ZARAA: Mfumo wa bustani za PVC unaweza kusaidia raia kukabili tatizo la uhaba wa chakula

NA SAMMY WAWERU ATHARI za tabianchi ni bayana, na wataalamu wa masuala ya kilimo wanasisitiza sharti wakulima watathmini mbinu...

KIKOLEZO: Kali za 254 Netflix

NA SINDA MATIKO TAARIFA za kuwa Country Queen itakuwa Series ya kwanza yenye asili ya Kikenya kupeperushwa kwenye tovuti maarufu ya...

MAWAIDHA YA KIISLAMU: Siku 10 za mwanzo za mwezi muhimu wa Dhul Hijja

NA HAWA ALI SIFA zote njema anastahiki Mwenyezi Mungu Subuhaanahu wata’ala, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu. Swala na salamu...

Munya ahimiza wakulima wakumbatie teknolojia za kisasa

NA SAMMY WAWERU UKUAJI katika sekta ya kilimo utaafikika kikamilifu kupitia mifumo ya teknolojia za kisasa. Waziri wa Kilimo, Peter...

KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Ukitumia ubongo wako vizuri utapata mawazo mazuri ya kutenda mambo mazuri

NA WALLAH BIN WALLAH KICHWA cha mwanadamu kimebeba na kuhifadhi ubongo ambao ndio humsaidia mtu kuwaza na kutambua mambo...

NGUVU ZA HOJA: Umuhimu wa maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani

NA PROF CLARA MOMANYI TANGAZO la UNESCO kwamba tarehe 7 Julai itakuwa maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani bila shaka liliwasisimua...

NGUVU ZA HOJA: Ikiwa Sheng ni kizawa cha Kiswahili, Shembeteng ni mjukuu wa Kiswahili?

NA PROF IRIBE MWANGI JUZI nikipitapita mjini, nilikutana na vijana wawili wakizungumza kwa lugha ambayo niliiona kwamba naielewa lakini...

USHAURI NASAHA: Yajaze mazingira yako uchangamfu ili ufuzu vyema zaidi

NA HENRY MOKUA JE mazingira yako ya kufanyia kazi, ya kusomea huwaje? Je waweza kuwa kiini cha uchangamfu kwa wenzio? Je wewe...