• Nairobi
  • Last Updated March 29th, 2024 9:18 PM

Gwiji wa utangazaji Joyce Gituro asimulia changamoto za ndoa

NA WANDERI KAMAU GWIJI wa utangazaji Joyce wa Gituro ameeleza jinsi ndoa yake ilivyokumbwa na changamoto nyingi na sababu zilizomfanya...

Kanyari: Maisha magumu yalinisukumu kuambia waumini kupanda mbegu ya 310

NA FRIDAH OKACHI PASTA Victor Kanyari aliyezingirwa na utata nchini, sasa amekiri mpango wake wa kuitisha Sh310 za waumini kupanda...

Walevi wa kuchelewa kurudi nyumbani walawitiwa kwa mitaro

NA MWANGI MUIRURI NDURU hutanda kukiwa na giza na katika mitaro kando ya barabara mbalimbali Kaunti ya Murang'a ambapo walevi wa kiume...

Polisi avuta bangi ‘cha lazima’

NA MWANGI MUIRURI POLISI mmoja amelazwa katika Hospitali Kuu ya Murang'a akiwa hajielewi baada ya kushurutishwa na genge mtaani kuvuta...

Manda-Maweni: Kijiji cha maisha magumu kwa mtu kifyefye 1GB

NA KALUME KAZUNGU MANDA-Maweni ni kijiji cha Lamu kilichoanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Kijiji hicho hupatikana eneobunge la Lamu...

Amber Ray na Kennedy Rapudo wathibitisha ladha ya penzi ni mtoto

NA FRIDAH OKACHI SOSHIOLAITI Amber Ray na mpenziwe Kennedy Rapudo almaarufu 'Tajiri', kwa mara ya kwanza wameiweka sura ya binti yao...

Fahamu athari za mvua ya theluji Kinangop

NA WANDERI KAMAU ENEO la Kinangop linafahamika kama mojawapo ya maeneo yenye baridi kali zaidi nchini. Kuna wale huliita eneo hilo lililo...

VillageReach yateua Nairobi kitovu cha shughuli zake barani

NA PAULINE ONGAJI SHIRIKA la huduma za afya la VillageReach limefungua kitovu chake jijini Nairobi kufuatilia kwa ukaribu shughuli zake...

Neno ‘baadhi’ lisitumiwe kurejelea kitu kimoja miongoni mwa vingi

NA ENOCK NYARIKI NINADHANI vyombo vya habari vilikuwa vikiarifu jinsi baadhi ya maafisa wa kaunti walivyotumia mgao wa fedha za kaunti kwa...

Polisi, wanafunzi watajwa miongoni mwa washukiwa wa ‘kutoa lock’

NA MWANGI MUIRURI KILIO kimeongezeka katika mitaa ya Jua Kali, Grogan na steji ya Mukurwe-ini, ambapo wanaume hupanga foleni kuanzia saa...

Serikali ya Lamu yaelimisha wageni maana ya ‘itabidi mzoee’

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu imefaulisha juhudi za kupeana na kubandika majina ya sehemu mbalimbali za mji wa kale wa...

Mabibi waingiwa na wasiwasi waume wakienda kunyolewa

NA WANDERI KAMAU KWA kawaida, huwa haimchukui mtu muda mrefu kunyolewa katika duka la kinyozi. Ikizingatiwa kuwa huwa kuna wateja wengi...