• Nairobi
  • Last Updated March 18th, 2024 8:55 PM

Majonzi mwanafunzi akizama majini akijipiga selfie

NA MWANGI MUIRURI  FAMILIA ya mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyezama Mto Chania akijipiga selfie Januari 10, 2023 imeitaka serikali...

Maina Njenga: Gachagua ajue mimi ndiye kusema Mlima Kenya

NA MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA kinara wa kundi haramu la Mungiki Bw Maina Njenga ameshikilia kwamba yeye ndiye kinara wa siasa za Mlima...

Arati afunguka vurugu zilivyozuka

NA SAMMY WAWERU GAVANA wa Kisii, Simba Arati amesimulia jinsi vurugu zilizuka katika hafla aliyokuwa akisambaza basari katika eneobunge...

Sababu za ‘E’ kujaa Pwani

NA WINNIE ATIENO WALIMU wakuu kutoka ukanda wa Pwani wamehusisha matokeo duni kwenye Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) na...

Wenye baa wataja sababu za kuajiri mabaunsa nyamaume

NA RICHARD MAOSI WAMILIKI wa vilabu vya burudani na baa jijini Nairobi wameomba serikali kulegeza kamba ili kuwaruhusu mabaunsa wenye...

Wajakazi wafananisha kuosha nguo za ndani za mabosi na ‘uchawi mamboleo’

NA FRIDAH OKACHI BAADHI ya wajakazi jijini Nairobi wametoa malalamishi kwamba mabosi wao huwafanyia 'uchawi mamboleo' kwa kuwapa mavazi...

Jinsi usasa unavyotutoa ujuzi wa kuwakabili fisi wala watu

NA WANDERI KAMAU WANAVIJIJI sasa wamekosoa taratibu zilizotolewa kwa Wakenya na Shirika la Huduma kwa Wanyamapori Nchini (KWS) kwa wakazi...

PK Salasya: Kwake kila hafla ni shajara ya vitimbi

NA WANDERI KAMAU ALIPOCHAGULIWA kama mbunge na wakazi wa eneobunge la Mumias Mashariki, hilo lilionekana kuwa mwanzo mpya wa kisiasa kwa...

Hatutaki maneno matupu: Wakulima Nyeri wataka Kenya Kwanza iwape hazina ya mazao waliyowaahidi

NA WANDERI KAMAU WAKULIMA wa kahawa katika Kaunti ya Nyeri sasa wanamtaka Rais William Ruto kutekeleza Mpango wa Kuboresha Bei za Mazao...

Ruto ahama Ikulu ya Nairobi baada ya kuambiwa na wataalam ‘iko hatarini kuporomoka’

NA LABAAN SHABAAN RAIS William Ruto hatakaa katika Ikulu ya Nairobi kwa miezi miwili ijayo sababu ya ukarabati wa jengo hilo...

Wakenya kutazama Tanzania ikihangaika huko AFCON kupitia KBC bila malipo

Na MWANGI MUIRURI WAKENYA waliokuwa wametamauka kuhusu watakakofuatilia taifa la Tanzania likishiriki mitanange ya dimba la Taifa Bora...

Ajuza, 64, mpiga mbizi hodari ambaye hutafutwa kuopoa waliozama majini

Na MERCY KOSKEI AKIWA na umri wa miaka 64, Sally Njeri amekuwa wa msaada mkubwa kwa wakazi wa Rongai, Nakuru na maeneo ya karibu, akiwa...