Shirika la Groots Kenya lalaani vitendo vya ubakaji Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO WATU wanaopitia masaibu ya ubakaji wanastahili kupewa makao maalum ili kutengwa na wanaowadhulumu. Mkurugenzi wa shirika la Groots Kenya, Bi Fridah Githuku, alisema kwa siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa visa vingi vya ubakaji na ni bora serikali kuingilia kati ili kuwakinga waliodhulumiwa. Alisema tayari shirika hilo linashirikiana na Kaunti ya Kiambu na … Continue reading Shirika la Groots Kenya lalaani vitendo vya ubakaji Kiambu