BI TAIFA JANUARI 5, 2021

ESTHER Wanjiru, 22, ndiye mgeni wetu leo. Yeye ni mwanafasheni na mkazi wa mtaa wa Barnabas eneo la Lanet. Uraibu wake ni kuogelea na kuimba. Picha/ Richard Maosi