BI TAIFA JANUARI 8, 2021

MARGARET Nyambura, 22, ni mkazi wa Free Area, Kaunti ya Nakuru. Ni mfanyabiashara na uraibu wake ni kuogelea, kusafiri na kusakata densi. Picha/ Richard Maosi