BI TAIFA JANUARI 27, 2021

MGENI wetu leo ni Sharon Mbaika, 21. Ni mzaliwa wa Kitui. Yeye ni mwanafasheni. Uraibu wake ni kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo, kutazama filamu na kujumuika na marafiki. Picha/ Richard Maosi