BI TAIFA JANUARI 29, 2021

WEMA JEROP ndiye anayetupambia ukurasa wetu leo. Yeye ni mfanyabiashara kutoka Baringo. Uraibu wake ni kuogelea na kusafiri. Picha/ Cheboite Kigen