BI TAIFA FEBRUARI 9, 2021

MGENI wetu leo ni Bi Luria Mercy ambaye ni mzaliwa na mfanyabiashara mjini Elburgon, Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kusafiri, kusoma na kuimba. Picha/ John Njoroge