BI TAIFA FEBRUARI 11, 2021

BRIDGIT Regina, 22, ni mwanafasheni kutoka jijini Nairobi. Anapenda kusafiri, kujumuika na marafiki na kuogelea. Picha/ Richard Maosi