BI TAIFA FEBRUARI 22, 2021

ALICE Wangare mwenye umri wa miaka 22 ni mfanyabiashara na mwanafasheni kutoka mjini Nakuru. Uraibu wake ni kuandaa keki, kuogelea na kutazama filamu. Picha/ Richard Maosi