BI TAIFA FEBRUARI 24, 2021

MAUREEN Morena, 22, ni mwigizaji wa filamu kutoka Nakuru. Anapenda kupatana na marafiki wapya na kuogelea. Picha/ Richard Maosi