BI TAIFA FEBRUARI 27, 2021

MGENI wetu ni Jaquiline Cheruiyot, 26. Ni mtaalam wa mapambo kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kutazama filamu, kusoma na kucheza voliboli. Picha/ Richard Maosi