Ukumbi wa Gumzo

Ukumbi wa Gumzo
Posts
Topics

Vituko kwenye Kaunti

Ukumbi huu umetengewa wasomaji wetu kote duniani kuripoti kwa lugha ya Kiswahili matukio ya kiajabu, vimbwanga na visanga wanavyoshuhudia. Hii ni kwa hiari yao na kwa wanaolenga kukuza vipaji vyao vya uanahabari.

0
0

Siasa

Katika kitengo hiki, wasomaji wameruhusiwa kuweka mada na kutoa maoni kuhusu siasa za Kenya na kimataifa. Karibuni.

0
0

Ndoa na mapenzi

Katika ukumbi huu, wasomaji wamepewa fursa ya kuuliza maswali kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa pamoja na kutoa hisia, ushauri na iwapo ni suala la kisheria, Gazeti la Taifa Leo litajibu.

0
0

Spoti

Jukwaa hili linawaruhusu wasomaji kutangamana kispoti kuhusu aina zote za michezo nchini na kimataifa.

1
1

  
Working

Please Login or Register