• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 6:55 PM

Biashara ya vinyago inalipa

NA RICHARD MAOSI Muungano wa wauzaji na wachongaji wa vinyago kutoka soko la Maasai Market Nakuru wamekuwa wakichangia pakubwa katika pato...

AKILIMALI: Bayogesi inavyopunguzia wakulima gharama

NA RICHARD MAOSI Wakulima wengi mashinani wameanzisha mikakati ya kupunguza gharama ya kulipia kawi ya umeme na mafuta, wakati huu...

AKILIMALI: ‘Kilimo cha spinachi na brokoli kinaniletea hela si mchezo’

Na SAMMY WAWERU IKIWA kuna uamuzi asiojutia kamwe, uite “kuingilia shughuli za kilimo” kwa kile anasisitiza hakijamuangusha, hususan...

Aligura kazi ngumu ya kuuza mashamba akaanzisha kampuni ya uchukuzi, sasa ni tabasamu tu

NA PETER CHANGTOEK LOISE Kamanu alikuwa ameajiriwa katika kampuni moja ya kuuza mashamba nchini kufanya shughuli ya uuzaji. Hata hivyo,...

‘Kusuka mabinti na kuwarembesha kucha ni riziki tosha’

Na SAMMY WAWERU Ususi ni mojawapo ya gange inayoaminika kupaswa kufanywa na wanawake pekee, kwa kuwa ni kazi inayohusisha wateja wa...

Uuzaji wa sidiria umempa riziki kwa miaka mitano

Na SAMMY WAWERU Sekta ya Juakali inawakilisha zaidi ya asilimia 75 ya nguvukazi nchini, hivyo basi inaorodheshwa kati ya sekta muhimu...

AKILIMALI: Tabitha na mumewe wachangamkia kilimo cha ngano

Na CHRIS ADUNGO KATIKA eneo la Karuga, Nyahururu, Kaunti ya Laikipia, tunakutana na mkulima Tabitha Wanjiku ambaye huwa anashirikiana na...

Mafuriko yalivyowaletea wakulima wa mahindi hasara

Na JOHN NJOROGE [email protected] Huku akionekana akiwa na wasiwasi lakini mwenye tumaini, Gerishon Kamotho anatazama ekari...

AKILIMALI: Ukuzaji nyanya utakuletea malaki ya hela

Na JOHN NJOROGE [email protected] Sio wakulima wengi wanaoamini kuwa kukuza mimea kupitia mahali kuna kivuli hunawiri na kutoa...

‘Uuzaji wa mboga za kienyeji unalipa’

Na SAMMY WAWERU Ni majira ya asubuhi, tunakutana na Ann Kinuthia akiwa katika harakati za kusukuma gurudumu la maisha ili kukithi...

AKILIMALI: Biashara ya manati yampa pato nono licha ya kutumia mtaji mdogo

Na LUDOVICK MBOGHOLI JOHN Mati Maithya (42) (almaarufu Kalembe) alitoka Mwingi Kaskazini (Kitui) mwezi Novemba 2019 akaja kukita kambi...

Uchoraji riziki tosha kwake

Na PETER CHANGTOEK AMEKUWA akishughulika na shughuli ya uchoraji kwa muda wa mwongo mmoja sasa. Licha ya kuishi karibu na mtaa wa...