• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 1:14 PM

AKILIMALI: Anatumia mkojo wa sungura kuimarisha kilimo cha nyanya mwitu

Na JOHN NJOROGE [email protected] Joseph Maina Kanai hawezi kuwa na majuto alipojiondoa kwa ukulima wa mahindi miaka minne...

AKILIMALI: Kwake pato la maboga haya lazidi faida ya mboga na matunda

Na PETER CHANGTOEK BAADA ya kuhitimu masomo yake ya shahada katika chuo kikuu, Josephat Kiptoo alijitosa katika ukuzaji wa mimea ya...

AKILIMALI: Kijana anayevuna noti nzito ya zao la karakara

Na SAMMY WAWERU UASIN Gishu ni miongoni mwa kaunti tajika katika uzalishaji wa nafaka eneo la North Rift. Ni kapu la mazao kama vile...

AKILIMALI: Aliacha mihadarati, sasa mfugaji mbuzi

Na PETER CHANGTOEK UMBALI wa kilomita takribani 15, kutoka mjini Chuka, ndipo kilipo kitongoji cha Kathatwa, ambapo kuna shamba ambalo...

AKILIMALI: Ifahamu mikate ya ng’ombe kutoka Kalro

NA RICHARD MAOSI KILOMITA 16 hivi kutoka mjini Nakuru tunawasili katika makazi ya Miriam Wangare, mkazi wa Wanyororo B, eneo la Lanet...

AKILIMALI: Kukuza nyanya kwa mvungulio kuna faida tele

NA RICHARD MAOSI Kwa umbali tunaliona jumba la mvungulio katika majengo ya shule ya wavulana ya Jomo Kenyatta inayopatikana katika eneo...

Biashara ya mizinga ilivyomwinua kiuchumi

NA RICHARD MAOSI Mchango wa kufuga nyuki ni mkubwa katika azma ya wakulima wadogo kujiongezea kipato, ikiaminika kuwa hakuna kiumbe...

Maembe ya kisasa yanavyostawisha uchumi wa Makueni

NA RICHARD MAOSI [email protected] Upanzi wa maembe ni utajiri mkubwa kwa wakulima mashinani, hususan wajasiriamali...

Jinsi unyunyiziaji maji utaisaidia Kenya mwongo ujao

NA RICHARD MAOSI Maeneo kame nchini yanaweza kugeuzwa kuwa kitovu cha uzalishaji wa chakula cha kutosha hasa mahindi na mboga, Kenya...

AKILIMALI: Mradi unaosaidia shule kukimu mahitaji msingi

Na RICHARD MAOSI TUNAKUMBANA na hema la kivungulio (greenhouse) tunapokaribishwa katika majengo ya shule ya wavulana ya Jomo Kenyatta...

AKILIMALI: Matikitimaji yampa kipato eneo hatari kwa wizi wa mifugo

ONYANGO K’ONYANGO na ELMER MAGEKA ENEO la Bonde la Kerio halijajulikana kwa amani kwa miaka mingi kutokana na wizi wa mifugo na...

BONGO LA BIASHARA: Mshonaji viatu vipya vya shule aliye na soko tayari

Na HASSAN POJJO KUKOSA kwenda katika shule ya upili baada ya kukamilisha elimu yake ya Darasa la Nane hakukumzuia kupiga hatua katika...