Tag: al shabaab
- by adminleo
- January 2nd, 2020
Washukiwa wa al-Shabaab washambulia basi la kuelekea Lamu, waua watu watatu
Na KALUME KAZUNGU WASHUKIWA wa al-Shabaab wameshambulia basi la kuelekea Lamu eneo la Nyongoro katika Kaunti ya Lamu, ambapo wameua watu...
- by adminleo
- July 22nd, 2019
‘Mshukiwa amekuwa akiwasiliana na Al-Shabaab’
Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa ugaidi aliyekamatwa katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Ijumaa wiki iliyopita...
- by adminleo
- July 15th, 2019
Al-Shabaab watatu wauawa Kiunga
NA KALUME KAZUNGU MAGAIDI watatu wa Al-Shabaab waliuawa huku polisi wawili wakijeruhiwa vibaya pale kilipuzi cha kutegwa ardhini...
- by adminleo
- July 13th, 2019
Watu 26 waangamia baada ya shambulizi katika hoteli maarufu Kismayo
Na AFP MOGADISHU, SOMALIA WATU si chini ya 26 wakiwemo raia wa kigeni kadhaa, wameuawa huku 56 wakipata majeraha katika shambulizi la...
- by adminleo
- June 19th, 2019
Alai ndani siku 14 kwa ‘kufurahia Al Shabaab wakiua Wakenya’
Na RICHARD MUNGUTI Mwanablogu Robert Alai Onyango na afisa wa magereza Patrick Safari Robert Jumatano waliamriwa wazuiliwe kwa siku 14...
- by adminleo
- May 21st, 2019
Kenya yaapa kutojadiliana na Al Shabaab
Na CHARLES WASONGA KENYA imesema kamwe haitafanya mazungumzo yoyote na kundi la kigaidi la Al Shabaab ambao waliwateka nyara madaktari...
- by adminleo
- May 16th, 2019
Al-Shabaab wageuza madaktari wa Cuba watumwa wao
AMINA WAKO na MASHIRIKA MADAKTARI wa Cuba waliotekwa nyara katika Kaunti ya Mandera na kundi la kigaidi la Al-Shabaab, wamefanywa...
- by adminleo
- April 29th, 2019
Walioasi Al Shabaab sasa wajiunga na magenge Pwani
Na MOHAMED AHMED VIJANA waliojiondoa katika kundi la kigaidi la Al Shabaab na kurudi humu nchini sasa wanajiunga na magenge ya ujambazi...
- by adminleo
- February 5th, 2019
Polisi wakana kushirikiana na wanamgambo wa Al-Shabaab
NA BRUHAN MAKONG POLISI mjini Wajir wamekanusha madai kwamba wanashiriki biashara haramu na kundi la kigaidi la Al Shabaab kisha...
- by adminleo
- January 30th, 2019
Washukiwa 17 wa Al-Shabaab kusalia ndani
FADHILI FREDRICK na MOHAMED AHMED MAAFISA wa kitengo cha kupambana na ugaidi (ATPU) kaunti ya Kwale wameruhusiwa na mahakama ya Kwale...
- by adminleo
- January 21st, 2019
Shabaab 52 wauawa katika shambulizi
VALENTINE OBARA na AFP WANAJESHI wa Amerika waliwaua magaidi 52 wa kundi la al-Shabaab nchini Somalia usiku wa kuamkia jana kwa kurusha...
- by adminleo
- January 16th, 2019
SHAMBULIO: Matukio makuu ya kigaidi awali hapa Kenya
Na VALENTINE OBARA MASHAMBULIO mengi ya kigaidi yametokea nchini Kenya tangu Jeshi la Taifa (KDF) lilipoingia Somalia kukabiliana na...