• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 2:18 PM

Polisi anayechunguza kesi ya Alai aitwa kortini

Na RICHARD MUNGUTI AFISA anayechunguza kesi inayomkabili mwanablogu matata Robert Alai aliamriwa afike kortini Julai 30 kutoa maelezo...

Alai jela maisha akipatikana na hatia ya kusaidia Al Shabaab

Na Richard Munguti MWANABLOGU Robert Alai huenda akahukumiwa kifungo cha maisha akipatikana na hatia ya kuwasaidia magaidi wa Al Shabaab...

Polisi aliyemtumia Alai picha za Wakenya waliouawa na Alshabaab taabani

Na RICHARD MUNGUTI AFISA wa polisi aliyefikishwa kortini Alhamisi akidaiwa alimtumia mwanablogu Robert Alai picha za maafisa wa polisi...

Alai ndani siku 14 kwa ‘kufurahia Al Shabaab wakiua Wakenya’

Na RICHARD MUNGUTI Mwanablogu Robert Alai Onyango na afisa wa magereza Patrick Safari Robert Jumatano waliamriwa wazuiliwe kwa siku 14...

Mwanablogu Robert alai akamatwa

Na MARY WAMBUI na VINCENT ACHUKA MWANABLOGU Robert Alai amekamatwa jijini Nairobi, siku moja baada ya maafisa wa polisi kumuonya...