• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 9:35 PM

SHINA LA UHAI: Chanjo: Hatari ya mgando wa damu ipo ila ni kwa watu walio na matatizo tofauti

Na BENSON MATHEKA FLORA alikataa kwenda kupata chanjo ya corona kufuatia ripoti kwamba inasababisha mgando wa damu miongoni mwa matatizo...

Chanjo ya AstraZeneca yaua watu saba

Na AFP WATU saba kati ya 30 walioathirika na kuganda kwa damu baada ya kupewa chanjo ya AstraZeneca walifariki, halmashauri ya matibabu...

Mhudumu wa afya afariki baada ya kuchanjwa Astra Zeneca

AFP Na SAMMY WAWERU MHUDUMU mmoja wa afya Norway ameripotiwa kufariki kutokana na tatizo la ubongo baada ya kupewa chanjo ya...

Chanjo: Rais aondoa hofu kuhusu AstraZeneca

Na WANDERI KAMAU RAIS Uhuru Kenyatta, Ijumaa aliondoa tashwishi ambazo zimeibuka kuhusu chanjo aina ya AstraZeneca inayotumika...

WHO yapuuzilia mbali ‘madhara’ ya chanjo ya AstraZeneca

Na AFP GENEVA, Uswisi SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) Ijumaa lilisema hakuna haja ya kusitishwa kwa utoaji wa chanjo ya Covid-19 aina...

Denmark yasitisha kwa muda chanjo ya AstraZeneca

Na MASHIRIKA COPENHAGEN, Denmark TAIFA la Denmark limesimamisha kwa muda shughuli ya utoaji chanjo ya AstraZeneca baada ya ripoti...

Kaunti zaanza kupeana chanjo

SIMON CIURI na GEORGE ODIWUOR KAUNTI mbalimbali nchini zimeanza kupeana chanjo za kuepusha maambukizi dhidi ya virusi vya...

COVID-19: Walimu kuwa miongoni mwa watu wa mwanzo watakaopewa chanjo

Na MWANDISHI WETU HAPA nchini Kenya, chanjo ya maradhi ya Covid-19 haijafika, lakini mara itakapokuwa imeletwa, walimu watakuwa miongoni...