• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 8:55 PM

Ujenzi wa barabara waacha wakazi na kiu katika mitaa

Na SAMMY KIMATU WAKAZI wa mitaa ya mabanda ya Hazina na Kayaba Nairobi wanakumbwa na uhaba wa maji baada ya mifereji ya maji kubomolewa...

Serikali yaanza kujenga barabara ya lami kuinua hadhi ya mji wa Othaya

Na WANGU KANURI [email protected] Serikali kupitia Mamlaka ya Ujenzi wa Barabara za Mijini (KURA) imeanza kujenga barabara...

Hatari wakazi ‘wakisusia’ madaraja ya barabara kuu

Na WACHIRA MWANGI WAKAZI wa jiji la Mombasa ‘wamesusia’ madaraja yaliyojengwa kwa kutumia mamilioni ya fedha ili kulinda maisha...

Barabara hatari eneo la Ngunguru-Karatina

Na SAMMY WAWERU WAKAZI wa kijiji cha Ngunguru, eneo la Gathogorero, Karatina Kaunti ya Nyeri wanalalamikia barabara hatari inayoendelea...

Nairobi Expressway kutatiza usafiri hadi 2022

Na HILARY KIMUYU WAKENYA watalazimika kuvumilia msongamano wa magari kwa mwaka mmoja, barabara ya Nairobi Expressway inapoendelea...

Wakazi walia barabara mbovu zinawaletea hasara

Na SAMMY WAWERU WAKAZI wa mtaa wa Zimmerman, Nairobi wanalalamikia muundomsingi duni wa barabara eneo hilo, wakilia sasa wanapata hasara...

Ujenzi wa barabara wageuka kero kubwa kwa wakazi

NA PAULINE ONGAJI Kulingana na baadhi ya wakazi wa eneo hili vilevile wanaharakati wa kimazingira, baada ya shughuli hii kumalizika,...

Seneta Mwaura aitikia kilio cha wahudumu wa tuktuk Githurai kuimarisha barabara mbovu

Na SAMMY WAWERU SIKU kadhaa baada ya wahudumu wa tuktuk Githurai kulalamikia hali mbovu ya barabara, hasa inayounganisha eneo hilo na...

Wakazi wa Gatuanyaga waambiwa kila kitu tayari ujenzi wa barabara nzuri uanze

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Gatuanyaga katika Kaunti ya Kiambu sasa wanatarajiwa kuanza kutumia barabara nzuri. Mbunge wa...

Miradi ya vivukio Thika Superhighway yasababisha misongamano

Na SAMMY WAWERU KWA muda wa wiki kadhaa msongamano wa magari umekuwa ukishuhudiwa Thika Superhighway, kufuatia utengenezaji wa madaraja...

Bajeti Kuu yatenga Sh1.7 bilioni kwa barabara za Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu itanufaika na takribani Sh1.7 bilioni zitakazoelekezwa kwa miradi ya ujenzi wa barabara kutokana na...

Wakazi wa Kiambu wapata ‘mabadiliko mapya’

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Kaunti ya Kiambu wanazidi kuona mabadiliko ya maendeleo ambapo barabara kadhaa zinafanyiwa...