• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 9:40 PM

BONGO LA BIASHARA: Anapata riziki kwa kupanda na kuuza miche mjini Kitale

Na CHRIS ADUNGO UPANZI wa miti ni hatua muhimu katika juhudi za kuhifadhi mazingira. Mbali na kudhibiti hali ya hewa, uhifadhi wa...

BONGO LA BIASHARA: Achuma hela kibao kutokana na ustadi wake katika unyoaji jijini

Na CHARLES ONGADI MARA tu baada ya kifo cha ghafla cha mama mzazi mwaka wa 2005 George Franck Bruno, 26, alilazimika kukatiza masomo...

BONGO LA BIASHARA: Mradi wa kukausha mboga wafaa wenyeji na wakimbizi

Na SAMMY LUTTA UKOSEFU wa miundomsingi bora kama vile barabara inayounganisha Kaunti ya Turkana na sehemu nyingine nchini Kenya pamoja...

BONGO LA BIASHARA: Vyombo vya ufinyanzi vilivyo sumaku kwa watalii

Na FRANCIS MUREITHI TAKRIBANI kilomita 10 hivi kutoka mji wa Naivasha kuna karakana ambayo wakazi wengi wa mji huu hawana habari kuwa...

BONGO LA BIASHARA: Mbinu za kushamiri katika uchuuzi wa vazi aina ya suti

Na STEPHEN DIK “BIASHARA haigombi” na “Riziki haivutwi kwa kamba” ni methali mbili ambazo zinalenga biashara. Unapoingia sokoni...

BONGO LA BIASHARA: Alistaafu ualimu ila mipapai inampa ‘malipo’ kuliko ajira

Na BENSON MATHEKA na JOHN MUSYOKI ALIPOANZA kilimo cha mapapai akiwa mwalimu, watu wengi walidhani hangefaulu kwa sababu ya hali ya hewa...

BONGO LA BIASHARA: Sh100 za chama kila wiki zajengea wanabodaboda nyumba

Na PHYLIS MUSASIA SH100 walizojikakamua kukusanya kila wiki kutoka kwa jasho la kuendesha bodaboda licha ya purukushani na askari wa...

AKILIMALI: Ugumu wa kazi EPZ ulimpa wazo la biashara ya vinyago

Na CHARLES ONGADI na HASSAN POJJO AKILI ni nywele na kila mtu ana zake. Hii ndiyo kauli ya Bi Elizabeth Musyoki ambaye licha ya kutokuwa...

BONGO LA BIASHARA: Aliacha mahindi na mboga akashika zao analouza Ulaya

Na PIUS MAUNDU na CHARLES WASONGA WAKAZI wa eneo la Kyumbi, Kaunti ya Machakos hukuza mboga aina ya sukumawiki, mahindi na maharagwe...