• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:55 PM

Watoto na vijana waanza kupewa chanjo ya corona

Na MASHIRIKA PRETORIA, AFRIKA KUSINI AFRIKA Kusini imeanza kuwapa chanjo watoto na vijana chipukizi kama sehemu ya hatua tatu za...

Kagwe atishia kuadhibu walipishao chanjo

Na WINNIE ONYANDO WAZIRI wa Afya, Mutahi Kagwe ametishia kuyaondoa kwenye orodha majina ya vituo vya afya vyenye mazoea ya kuwatoza...

Hofu Kaunti ikikosa chanjo dhidi ya Covid

Na IAN BYRON MAAFISA wa afya katika Kaunti ya Migori wameibua hofu kuhusu uhaba mkubwa wa chanjo ya corona huku visa vya maambukizi...

Serikali yajipanga kuchanja mamilioni

Na MARY WANGARI SERIKALI imeanzisha mikakati ya kuhakikisha Wakenya milioni 30 kuanzia wenye umri wa miaka 18 wamepata dozi kamili za...

Walimu wakosa chanjo ya corona kituoni

Na ALEX NJERU MAMIA ya walimu katika Kaunti ya Tharaka Nithi waliorauka kupewa chanjo ya Covid-19 kabla ya muda wa makataa kukamilika...

Hofu Ulaya ikipunguza chanjo za Covid-19 Afrika

Na PAULINE KAIRU KUMEZUKA hali ya wasiwasi barani Afrika kuhusu kupungua kwa idadi ya chanjo za virusi vya corona, baada ya serikali...

Wauguzi wagomea chanjo ya corona licha ya amri kali

Na Shaban Makokha WAUGUZI katika Kaunti ya Kakamega hawaonekani kuchangamkia chanjo ya corona licha ya Wizara ya Afya kusema ni lazima...

TAHARIRI: Wanaotoa chanjo watoe habari zote

NA MHARIRI WATU 789 wapya waliripotiwa kuambukizwa virusi vya corona na kufikisha jumla ya maambukizi kuwa 220,727. Maambukizi ya jana...

Corona: Onyo kuhusiana na utoaji chanjo kwa halaiki

Na MASHIRIKA UWEZO wa kinga ya pamoja kutumika katika kuzuia maambukizi ya Covid-19 umezidi kujitokeza kama jambo lisilowezekana, kwa...

Tanzania mbioni kuunda chanjo yake ya corona

Na MWANDISHI WETU TANZANIA imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya virusi vya corona ili kupunguza gharama ya kuiagiza kutoka nje ya...

MARY WANGARI: Utafiti mpya wahimiza manufaa ya kupokea chanjo

Na MARY WANGARI WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya...

Kemri kubaini athari ya chanjo kwa Wakenya

Na MAUREEN ONGALA TAASISI ya Utafiti wa Matibabu nchini Kenya (Kemri) inatarajia kukamilisha utafiti wake kuhusu ikiwa chanjo ya...