• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:55 PM

Mikakati ya kutunzia wagonjwa wa corona nyumbani

Na SAMMY WAWERU Wizara ya Afya Jumatano ilizindua rasmi mikakati itakayotumika kuwatunza wagonjwa wa Covid - 19 nyumbani. Serikali...

Inasikitisha maafisa wa afya wanazidi kuambukizwa corona – Serikali

NA ANGELA OKETCH Kutoa vifaa vya kuwakinga madaktari wasiambukizwe virusi vya corona na kuwepo kwa wagonjwa wasioonyesha dalili zozote...

Afisa wa ODM apatikana na Covid-19

NA IBRAHIM ORUKO AFISA katika afisi za chama cha ODM amepatikana na virusi vya corona Jumanne, katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna...

Msiwakejeli waliopona corona – Serikali

NA BERNADINE MUTANU Wizara ya Afya imeonya Wakenya dhidi ya kuwakejeli wagonjwa wa corona waliopona virusi hivyo, hali inayowaletea...

Gavana Mutua apongeza hatua za kudhibiti corona

NA LILLIAN MUTAVI Gavana wa Machakos Alfred Mutua amepongeza kuongezwa kwa siku za kafyu na makataa ya kutotoka au kuingia Nairobi,...

Watu 167 wapatikana na corona

NA BERNADINE MUTANU Idadi ya wagojwa wa virusi vya corona imefikia 2,767 baada ya watu wengine 167 kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo...

Kisa cha nne cha corona charipotiwa Homabay

NA GEORGE ODIWUOR Kaunti ya Homabay imerekodi kisa chake cha nne baada ya mwalimu wa miaka 24 kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo...

Covid-19: Sababu za Rais kudinda kulegeza kamba

Na SAMMY WAWERU Katika hotuba ya Rais Uhuru Kenyatta mnamo Jumamosi na iliyotarajiwa na Wakenya ingekuwa yenye afueni masharti...

Kulegeza masharti kutasabisha vifo vingi – Uhuru

NA MWANDISHI WETU Wakenya mitandaoni wamezua hisia mseto baada ya Rais Kenyatta kudinda kuondoa marufuku ya kutoka na kuingia katika...

Shule kufunguliwa Septemba

Na SAMMY WAWERU Shule na taasisi zote za elimu nchini zitarejelea shughuli za masomo muhula wa tatu. Rais Uhuru Kenyatta Jumamosi...

Covid-19: Wakenya wamlilia Rais alegeze masharti

Na SAMY WAWERU Huku Rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kuhutubia taifa leo, Jumamosi, Wakenya wana matumaini makuu kiongozi wa nchi...

Vituo vya karantini vimejaa – Kagwe

NA ANGELA OKETCH SERIKALI imeanza mchakato wa kuunda mwongozo wa kuwatunzia nyumbani wanaougua Covid-19 na waliotangamana nao, huku...