• Nairobi
  • Last Updated April 23rd, 2024 9:40 PM

DINI: Hakuna majira wala hali inayodumu milele, weka matumaini kwa Mungu

Na WYCLIFF OTIENO JANE alifanikiwa kupata watoto wawili wa kiume. Ndoto yake ya kupata mtoto wa tatu, na haswa wa kike ilikatizwa...

DINI: Kila dakika unapokuwa na hasira, unapoteza sekunde 60 za furaha

NA PADRE FAUSTIN KAMUGISHA TOFAUTI kati ya neno hasira na neno hasara ni herufi moja. ndiposa kukawa na msemo wa hasira hasara....

DINI: Kuna njaa za aina nyingi ila zipo za lazima zinazohitaji Mungu pekee

Na FAUSTIN KAMUGISHA NJAA zetu ni za aina nyingi. Tuna njaa ya Mungu. Tuna njaa ya kujua maana. Tuna njaa ya kueleweka. Tuna njaa ya...

DINI: Hatuna budi kusali wakati wa mabaya na mazuri tusije tukatekwa na kiburi!

NA PADRE FAUSTIN KAMUGISHA SALA inagema na kufungulia neema za Mungu. Kuna aliyesema hivi, “Lazima tusali wakati wa magumu na dhoruba,...

DINI: Lisheni akili zenu mawazo mazuri, fikra za tumaini na ndoto za ufanisi

Na FAUSTIN KAMUGISHA HERI kuanza umefungwa goli kuliko kumaliza umefungwa mabao kadha. Mchezo wa maisha una kipindi cha kwanza na...

MAKALA MAALUM: Wakazi Limuru katika njiapanda kuhusu Ukristo na dini za kiasili

Na MARY WANGARI KWA wengi, mji wa Limuru ni sehemu tu ya Kaunti ya Kiambu ambayo ina baridi kali ya mzizimo inayoandamana na ukungu na...

DINI: Unayojiambia yatakuinua au kukufifisha, tafakari kwanza kuhusu unayoyatamka!

NA PADRE FAUSTIN KAMUGISHA MSOMI mmoja aliwahi kusema hivi: “Unayojiambia kila siku yatakuinua au yatakudidimiza. Uwe mwema kwa nafsi...

DINI: Ugumu wa maisha usikufanye upoteze imani au kulaumu wengine, jipe moyo kuna nuru

Na WYCLIFFE OTIENO KUNA wakati katika maisha mambo yanakuwa magumu mpaka unasikia kukata tamaa. Unaweza kujikuta umezungukwa na shida...

Tofauti zaibuka kuhusu uteuzi Kadhi wa kike

KALUME KAZUNGU na FARHIYA HUSSEIN PENDEKEZO la kuruhusu wanawake wateuliwe kwa nafasi ya Kadhi Mkuu au Kadhi, linazidi kuibua mitazamo...

DINI: Muda hauna rafiki, ukipotea haufufuki, utumie vizuri kujiendeleza kimaisha

Na PADRE FAUSTIN KAMUGISHA SAUTI ya muda inasema, ‘muda sio rafiki.’ Muda sio kwamba unakimbia tu bali una mabawa, unapaa. Hivyo...

DINI: Akili yako itawaliwe na mawazo mema usiwe adui wa nafsi yako

NA PADRE FAUSTIN KAMUGISHA Tumezoea kusema, “nipishe nipite,” kama kuna watu wameziba njia au wanakuzuia kupita. Lakini wakati...

DINI: Hata kama hatumwoni, Bwana Mchungaji Mwema huwa nasi hata wakati wa mateso

NA PADRE FAUSTIN KAMUGISHA Mungu ni mchungaji mwema. Anajali. Ana huruma. Anakumbuka. Hakuachi. Anakupenda. Yesu ni mchungaji mwema....