• Nairobi
  • Last Updated April 25th, 2024 7:55 PM

Southampton yaipa Man City kichapo cha 8 msimu huu

Na CHRIS ADUNGO CHE Adams, 23, alifunga bao la pekee katika ushindi wa 1-0 uliosajiliwa na Southampton dhidi ya Manchester City katika...

Ratiba mpya ya EPL yatolewa

Na CHRIS ADUNGO RATIBA ya mechi 32 za kwanza kati ya 92 zilizosalia katika kampeni za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu...

Klabu za EPL zakubaliwa kushiriki mechi za kirafiki

Na CHRIS ADUNGO KLABU za Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) zimepewa kibali cha kushiriki mechi za kirafiki, chini ya masharti makali, kabla ya...

Hasenhuttl kusalia Southampton kwa miezi 4 zaidi

Na CHRIS ADUNGO KOCHA Ralph Hasenhuttl ametia saini mkataba mpya wa miaka minne na Southampton katika makubaliano ambayo kwa sasa...

EPL kurejelewa Juni 17

Na CHRIS ADUNGO KAMPENI za Ligi Kuu ya Uinegreza (EPL) sasa zitarejelewa Juni 17, 2020, kwa mechi mbili zitakazokutanisha Aston Villa na...

Hatima ya EPL msimu huu kujulikana kesho Jumatano kupitia kura

Na CHRIS ADUNGO MIKAKATI ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kurejea inaendelea kushika kasi huku klabu za kipute hicho zikiratibiwa kupiga...

Hofu EPL klabu zikiripoti visa viwili vya Covid-19 mazoezini

Na MASHIRIKA LONDON, UINGEREZA VISA viwili zaidi vya maambukizi mapya ya virusi vya corona vimeripotiwa na klabu mbili tofauti katika...

KURA: Gozi la EPL litaanza Juni 12 lakini hili linategemea angalau klabu 14 ziseme “ndio”

Na CHRIS ADUNGO VIKOSI vya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) vinatarajiwa kuwapa wachezaji wao idhini ya kuanza mazoezi ya pamoja katika...

Nyota wa Spurs akashifu mipango ya kurejelewa EPL kabla ya Covid-19 kudhibitiwa kabisa duniani

Na CHRIS ADUNGO BEKI Danny Rose wa Tottenham Hotspur amekashifu na kupinga vikali mipango ya vinara wa soka nchini Uingereza kurejelea...

Klabu za EPL kurejesha mabilioni kwa wapeperushaji wa mechi zao redioni na katika runinga

Na CHRIS ADUNGO KLABU za Ligi Kuu ya Uingereza zinatarajiwa kurejesha jumla ya Sh47 bilioni kwa kampuni za upeperushaji mechi zao za...

EPL kurejelewa Juni 12 serikali Uingereza ikiidhinisha mapendekezo yaliyopo mezani

Na CHRIS ADUNGO HUENDA Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) ikarejelewa Juni 12, 2020 iwapo Serikali ya nchi hiyo itaidhinisha baadhi ya...

Polisi wataka mamlaka ya kusitisha EPL iwapo watashindwa kudhibiti mashabiki

CHRIS ADUNGO na MASHIRIKA POLISI wa Uingereza wanataka wapewe ruhusa ya kufutilia mbali soka ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu huu...