• Nairobi
  • Last Updated March 28th, 2024 4:31 PM

Ununuzi wa umeme wasimamishwa kurekebisha bei

Na BERNARDINE MUTANU Wateja wa umeme ambao hununua kwa kutumia ‘tokens’ hawataweza kufanya hivyo kufikia Alhamisi saa nane. Ripoti...

Wananchi kufaidika baada ya ERC kupunguza bei ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU TUME ya Kudhibiti Kawi (ERC) imepunguza gharama ya matumizi ya umeme kwa watumiaji wa kawaida. Wakati wa mkutano...

NISHATI YA UPEPO: ERC yakubalia kampuni ya Ubelgiji kuanza kazi Lamu

NA KALUME KAZUNGU TUME ya Kudhibiti Kawi nchini (ERC) hatimaye imepitisha ujenzi wa mradi wa nishati ya upepo katika eneo la Baharini,...

Mkakati mpya wa kupunguza ada ya umeme

Na BERNARDINE MUTANU Ni habari njema kwa Wakenya baada ya serikali kuondoa baadhi ya ada inazotoza umeme. Hatua hiyo ni kumaanisha...

Ni udhalimu kuongeza bei ya mafuta taa, Wakenya walia

NA PETER MBURU WAKENYA wengi hawajafurahishwa na wazo la Tume ya Kudhibiti Kawi (ERC) nchini kutaka bei ya mafuta taa ipandishwe, na...

ERC kuwakamata wanaouza mafuta yanayoharibu injini za magari

Na BERNARDINE MUTANU Tume ya Kudhibiti Kawi nchini (ERC) imeanza msako wa kuwakamata madereva wanaosafirisha mafuta chafu. Shirika...

Onyo kwa wanaosafirisha mafuta chafu

Na BERNARDINE MUTANU Tume ya Kudhibiti Kawi nchini (ERC) imetoa onyo kali kwa wasafirishaji wa mafuta ya gari katika hatua ya kudhibiti...