• Nairobi
  • Last Updated April 16th, 2024 8:55 AM

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Fafanuzi na nadharia za fasihi

Na ALEX NGURE WANANADHARIA wengi wamelielezea neno hili fasihi. Kwa hakika fafanuzi na nadharia juu yake ni nyingi. Neno fasihi...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Uchambuzi wa hadithi ‘Tumbo Lisiloshiba’ (Said A. Mohamed)

Na CHRIS ADUNGO MWANDISHI wa hadithi hii analenga kuonyesha umuhimu wa umoja; kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Mzee Mago...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Dhana ya tamathali za usemi katika mawasiliano

Na MARY WANGARI KWA mujibu wa Ogechi (2002:12), tunawasiliana ili kuwaathiri wengine. Kwa mfano, matumizi ya vibonzo katika magazeti...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Vibainishi vya kimsingi katika Nadharia ya Utambulisho

Na MARY WANGARI KATIKA kufafanua nadharia ya utambulisho, lugha ya mzungumzaji ni kibainishi muhimu sana. Vibainishi vinginevyo...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Nadharia ya makutano na mwachano katika mahusiano baina ya wanajamii

Na MARY WANGARI Katika makala iliyotangulia, tuliangazia mada kuhusu nadharia ya utambulisho katika kufafanua michakato ya uteuzi wa...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Chimbuko la Nadharia ya Utambulisho

Na MARY WANGARI MWASISI wa Nadharia ya Utambulisho ni msomi Howard Giles (1982). Nadharia hii imeendelezwa kutoka kwa Nadharia ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Utaratibu wa somo darasani katika ufundishaji wa lugha ya pili

Na MARY WANGARI SOMO lolote darasani linapaswa kuwa na sifa kadha. Sifa zifuatazo ni muhimu sana: Utangulizi . Unapaswa kutanguliza...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Tathmini ya vitabu vya kufundishia Kiswahili kwa wageni

Na MARY WANGARI SUALA la uteuzi wa vitabu vya kufundishia huzua changamoto kutokana na hali ya kutofautiana kwa malengo ya wadau husika...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Misingi ya uainishaji wa dosari

Na MARY WANGARI UAINISHAJI wa dosari katika ufundishaji wa lugha unaweza kutekelezwa kupitia njia mbalimbali. Kwa kuzingatia nyanja kuu...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Vikatizi vya mawasiliano bora na madhara yake

Na MARY WANGARI BAADHI ya vikatizi vya mawasiliano bora ni: kutokuwa na ujuzi wa kutosha wa lugha fulani matamshi mabaya ya...

UKUMBI WA LUGHA NA FASIHI: Mbinu ya mawasiliano (Communicative Language Approach)

Na MARY WANGARI MKABALA huu unasisitiza maingiliano na maathiriano baina ya mwalimu, mwanafunzi pamoja na jamii. Wataalamu...

KAULI YA MATUNDURA: Mchango wa fasihi ya Kiswahili katika kuhifadhi matukio muhimu ya historia

Na BITUGI MATUNDURA MWAKA 2002, mtaalamu wa Kiswahili na utamaduni pendwa – Prof Kimani Njogu - aliwashangaza wanataaluma wa Kiswahili...