• Nairobi
  • Last Updated April 19th, 2024 9:55 AM

Orengo akosoa Rais kuhusu mswada wa fedha

Na DICKENS WASONGA KIONGOZI wa wachache katika seneti James Orengo amemkosoa Rais Uhuru Kenyatta kwa kuingilia utendakazi wa Bunge...

Kamati nyingine ya upatanisho yabuniwa kujaribu kutanzua mzozo kuhusu ugavi wa fedha kwa kaunti

Na CHARLES WASONGA KWA mara ya pili Spika wa Bunge la Kitaifa Jusitin Muturi na mwenzake wa Seneti Kenneth Lusaka wamebuni kamati...

Rais ataka mzozo kuhusu ugavi wa fedha utatuliwe

PHYLLIS MUSASIA, DAVID MUCHUI na PSCU RAIS Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa Bunge la Kitaifa na Seneti kukomesha mzozo kuhusu Mswada wa...

FEDHA: Wizara ya nuksi

VALENTINE OBARA Na BENSON MATHEKA MASAIBU yanayomkumba Waziri wa Fedha, Henry Rotich yameongeza jina lake kwenye orodha ya walioandamwa...

‘MCAs hufyonza fedha za umma bila kufanya kazi’

Na ANITA CHEPKOECH YAMKINI idadi kubwa ya madiwani nchini hugharimu mlipaushuru kiasi kikubwa cha pesa ilhali utendakazi wao ni duni...

Kiwango cha fedha kwa kaunti chaongezwa kwa asilimia 17

Na BERNARDINE MUTANU Kiwango cha fedha kilichopewa serikali za kaunti kiliongezeka kwa asilimia 17.8 kufikia Machi hadi Sh205.6...

Wahindi wakejeli utumizi wa mafuta ya ng’ombe kutengeneza pesa

MASHIRIKA Na PETER MBURU JAMII ya Hindu inaitaka benki ya Reserve kutoka Australia kuanza kuchapisha sarafu za noti zisizoundwa kutumia...

UTAFITI: Inawachukua wakuu wa kampuni siku 1 kupata mshahara wako wa mwaka mzima

MASHIRIKA Na PETER MBURU UTAFITI kuhusu mishahara kati ya waajiri na wafanyakazi wao katika mataifa 22 duniani umedhihirisha kuwa...

Viongozi wakataa utaratibu wa kugawa fedha za kaunti

Na BRIAN OKINDA VIONGOZI kutoka kaunti za kaskazini mwa nchi wamepinga vikali mbinu mpya ya kugawa fedha kwa kaunti inayopendekezwa na...

BAJETI YA KUNYONYA: Raia kuumia zaidi

CHARLES WASONGA na VALENTINE OBARA BEI ya unga, maziwa, mkate, mafuta taa na bidhaa nyingine za kimsingi itapanda Bunge likipitisha...

BAJETI: Ujenzi wa reli, elimu zapewa kipaumbele

Na CAROLYNE AGOSA UJENZI wa barabara na reli mpya ya SGR, uimarishaji elimu na uhifadhi mazingira zimepewa kipaumbele katika bajeti ya...

Gor yakanusha kutowalipa wachezaji licha ya kutatizika kifedha

Na GEOFFREY ANENE AFISA mmoja wa Gor Mahia amekiri kwamba mabingwa hao mara 16 wa Kenya wanakumbwa na matatizo ya kifedha. Hata...