• Nairobi
  • Last Updated April 20th, 2024 12:46 PM

Hii kafyu inaumiza wananchi – Kalonzo

Na MWANGI MUIRURI KINARA wa Wiper Democratic Movement amemtaka Rais Uhuru Kenyatta awajibikie utathimini upya kwa upana mikakati...

Rais azima mikutano mikubwa ya kisiasa kwa siku 30

Na MWANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta amepiga marufuku mikutano ya kisiasa kwa muda wa siku 30 zijazo kama sehemu ya kuangazia upya...

Covid-19: Hisia za baadhi ya Wakenya kuhusu kafyu

Na WANGU KANURI JANGA la Covid-19 liliingia bila kubisha hodi nchini Kenya mnamo Machi 2020 na kuvuruga pakubwa vitega uchumi vya watu...

Kafyu kuendelea

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amezidisha utekelezaji wa amri ya kafyu na masharti mengine ya kudhibiti kuenea kwa Covid-19 hadi...

Zimbabwe yarejesha kafyu

Na MASHIRIKA ZIMBABWE imetangaza upya kafyu na masharti makali zaidi kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, baada ya visa vya...

‘Lamu wataka kafyu isiwaguse’

Na MISHI GONGO LICHA ya Rais Uhuru Kenyatta kupunguza muda wa utekelezwaji wa kafyu, amri hiyo inaendelea kuzikandamiza sekta za...

Kulegeza masharti kutasabisha vifo vingi – Uhuru

NA MWANDISHI WETU Wakenya mitandaoni wamezua hisia mseto baada ya Rais Kenyatta kudinda kuondoa marufuku ya kutoka na kuingia katika...

Kafyu kuanza saa tatu usiku

NA SAMMY WAWERU Muda wa kafyu ya kitaifa inayoendelea kutekelezwa kila siku umeongezwa kwa siku 30 zaidi. Kufuatia mkurupuko wa ugonjwa...

Masaibu ya chokoraa wakati wa kafyu

Na SAMMY WAWERU Kwa zaidi ya miezi miwili iliyopita, Kenya imekuwa ikitekeleza kafyu ya usiku, inayoanza saa moja za jioni hadi saa kumi...

Huenda shughuli za kiuchumi zikafunguliwa kote nchini bila zuio na kafyu

Na MARY WANGARI WAKENYA huenda wakarejelea maisha yao ya kawaida kipindi cha majuma machache yajayo pasipo kafyu na zuio la kuingia au...

COVID-19: Asimulia jinsi alivyofungiwa mashambani wakati akitarajia kurejea jijini Nairobi

Na SAMMY WAWERU KILA mwanzoni mwa mwezi Michael Murimi ambaye ni mfanyakazi na mkazi katika Kaunti ya Nairobi, huzuru mashambani...

COVID-19: Rais Kenyatta atarajiwa kutangaza hatima ya kafyu na zuio Jumamosi

CHARLES WASONGA na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta atawafahamisha Wakenya Jumamosi, Mei 16, 2020, ikiwa kafyu ya usiku kote nchini...